EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Wakuu mnakumbuka enzi hizo? Hii ndio ilikuwa inaitwa kutongozana. Nyingine zote miyeyusho.
View attachment 21314
View attachment 21314
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo demu anatoa majibu ya mkato,baada ya wiki akiona huchoki anattua mzigo na kukusikiliza.Wakuu mnakumbuka enzi hizo? Hii ndio ilikuwa inaitwa kutongozana. Nyingine zote miyeyusho.
View attachment 21314
Kulikuwa hakuna kumtua mtu mzigo. Pia tofauti na sasa kilikuwa halieleweki the same day. kwani demu anatua maji mara moja tuu?
Ha ha ha, Kwa hiyo inabidi jamaa asubirie maeneo ya kisimani au mtoni na kesho yake. Maana hakuna mawasiliano ya haraka na ya uhakika. Inabidi uwe unajua ratiba ya kuchota maji.
Wakuu mnakumbuka enzi hizo? Hii ndio ilikuwa inaitwa kutongozana. Nyingine zote miyeyusho.
View attachment 21314
Kweli.tumetoka mbali aiseee
Pole sana mkuu ndiyo tulipotoka, maana zamani bila demu kukata kajani na kula mdomoni ujue ndiyo kakubali vinginevyo hakieleweki! Na bila kutumia nguvu kidogo hakieleweki tofauti na saizi mtu ukienda guest tu ndiyo siku ya kwanza demu anachojoa huku anaangalia kabox kako kama ni normal au abnormal!mimi nilifanyaga siku moja kidogo nimwagiwe maji.
Wakuu mnakumbuka enzi hizo? Hii ndio ilikuwa inaitwa kutongozana. Nyingine zote miyeyusho.
mimi nilifanyaga siku moja kidogo nimwagiwe maji.