Hii ndio inaitwa Kutongozana, nyingine miyeyusho

Mi ningemwambia anisaidie ndoo wakati tunaongea!Nikifika kwetu ningemwambia nimemsikia anisubirie pale pale bombani kesho yake!Atanibebea maji weee mpaka siku namwambia simtaki mbona angekua kashatumika vya kutosha!
 
Vibaya kumfanyia mwenzio hivyo, yaani hata huruma kidogo kwa siku moja tu hauwezi!!
 
Enzi zangu siendi zaidi ya mita 50 bila kupata uhakika wa kupata au la!
 
Back
Top Bottom