Hii ndio international space station(ISS).

nmekubali xana huu uzii..ila pale juu ungeanza na introfuction kamili kuhusu hyo space..cz wtu wengi hawajui hcho kitu ni nini ila umefanya poa sana
 
300px-International_Space_Station_after_undocking_of_STS-132.jpg

Mwaka 1984 Ronald Reagan akiwa rais wa 40 wa U.S,kwa muunganiko wa bunge na viwanda alipendekeza kuundwa kwa space station ambayo hapo awali jambo hili lilionekana kama nadharia!(science fiction) mbele za watu!.
Baada ya ushawishi wa rais Ronald Reagan,u.s ilikubali jambo hilo nakuamua kuanza mikakati ya kutengeza iss,lkn U.S haikutaka kuwa pekee bali ilikaribisha nchi nyengine zipatazo 15 ktk kuunda na kutumia ISS...
U.S na URUSI wameonekana kuwa na mchango mkubwa ktk kufanikisha uundwaji wa chombo hicho ambapo ktk mwaka 1998 rocket ya kirusi ilioneka ikipasua anga kwaajili ya kupeleka kipande cha kwanza cha ISS.
Hii inamaanisha ISS ilitengenezwa kwa vipandevipande kisha kupelekwa angani kwenda kuungwa na kuwa kitu kimoja,miaka miwili mbele ISS ikawa tayari kwa watu kuitumia ambapo tarehe 2 november 2000...
Kapicha LA ISS mkuu.
 
Crew ya kwanza ya wanasayansi walitua ISS tayari kwa kuanza kazi rasmi lkn wkt huo ilikuwa bado haijamalizika vizuri! ila kwa matumizi ya binadamu ilikuwa salama,ISS imemalizwa kuundwa rasmi mwaka 2011 ikiwa na science labs,vyumba,choo na bafu,sehemu ya mazoezi,jiko n.k..

ISS inatumia solar ili kupata nguvu ya kujiendesha,ambapo solar hizo hutegemea mwanga wa jua ili kupata joto na kulibadili joto hilo ktk mfumo wa umeme,kisha umeme huo huifadhiwa ktk battery tatu kubwa zijulikanazo kama nickel hydrogen battery,hizi hutumika kusambaza umeme hasa pale ISS inapokuwa imekingwa na dunia ama kivuli cha dunia kinakuwa kinapiga ISS hivyo kufanya mwanga wa jua kutokufika vyema..toka dunia mpk ISS ni mile 240,
pia ISS huzunguka dunia kwa dk 90 kwa kasi ya 17,500 mph,kwa kasi hii ISS inaweza toka duniani mpk kwenye mwezi kwenda na kurudi kwa masaa 24.
maisha ktk ISS ni tofauti ukilinganisha na duniani kwani huko ilipo haiathiriwi sana na nguvu ya uvutano ya dunia hivyo vitu huelea! hii pia imekuwa moja kati ya kivutio
Mkuu hiyo mile 240 ni kutoka wap mpaka wap?
 
soler pv inabadili mwanga co joto
solar heater ndio hubadili joto la jua
Crew ya kwanza ya wanasayansi walitua ISS tayari kwa kuanza kazi rasmi lkn wkt huo ilikuwa bado haijamalizika vizuri! ila kwa matumizi ya binadamu ilikuwa salama,ISS imemalizwa kuundwa rasmi mwaka 2011 ikiwa na science labs,vyumba,choo na bafu,sehemu ya mazoezi,jiko n.k..

ISS inatumia solar ili kupata nguvu ya kujiendesha,ambapo solar hizo hutegemea mwanga wa jua ili kupata joto na kulibadili joto hilo ktk mfumo wa umeme,kisha umeme huo huifadhiwa ktk battery tatu kubwa zijulikanazo kama nickel hydrogen battery,hizi hutumika kusambaza umeme hasa pale ISS inapokuwa imekingwa na dunia ama kivuli cha dunia kinakuwa kinapiga ISS hivyo kufanya mwanga wa jua kutokufika vyema..toka dunia mpk ISS ni mile 240,
pia ISS huzunguka dunia kwa dk 90 kwa kasi ya 17,500 mph,kwa kasi hii ISS inaweza toka duniani mpk kwenye mwezi kwenda na kurudi kwa masaa 24.
maisha ktk ISS ni tofauti ukilinganisha na duniani kwani huko ilipo haiathiriwi sana na nguvu ya uvutano ya dunia hivyo vitu huelea! hii pia imekuwa moja kati ya kivutio
 
Kwani wachawi wa Sumbawanga wanatembeaga miles ngap angani.. Na nahisi wanaspeed kubwa zaidi ya hiyo ISS
 
Hakuna usiku wala mchana ila kuna nini?
wapo ndani ya ISS kwaiyo mule ni taa tu ndo zinawamulika muda wote lbd wazime ndo iwe usiku lkn si real usiku!
kwenye dunia tupo kwenye uso wa dunia hlf kutokana na umbo la dunia na kujizungusha kwake ndio maana tunapata usiku na mchana nadhani mpk hapo utakuwa umeshagundua tofauti..
Tukisema tuite wana mchana na usiku basi wenyewe hupata hizo nyakati kila baada ya dk 45! maana iss inazunguka dunia kwa dk 90!...lkn wanakaa ndani ya ISS
 
space shuttle ikielekea ISS mwaka 2002
 
Swali langu mkuu. Je ile shuttle wanayoondoka nayo kutoka ISS kurudi katika earth Kwanini haifiki yote complete? Yani kitakachodondoshwa na parachute ni kile kichwa tu na the whole body inakua kama ime vunjika.Je hizo baadhi ya takataka zinazorudishwa huishia wapi? Nadhani wanaziachia hewani huko. Msaada tafadhali
 
1363823073924525350.png

mkuu Waterloo kuhusu hilo sifahamu sana lkn nahisi ni teknolojia ya wkt huo,pamoja na kupunguza kasi,pia yale mabaki baadhi ndio yalikuwa yanabaki yanaelea kwenye space lkn siku hizi wamekuwa wakitumia hiyo ya kwenye picha hapo wkt wa kwenda ISS inasaidiwa na rocket maalum so zinaipush mpk kilometa kadhaa(nafikiri hii ni kwaajili ya kuloose gravitational force pia ukiangalia umbo lake imekaa kama ndege ya abiria so ni ngumu kujipush yenyewe kutoka nje ya dunia)
wkt wa kurudi hurudi yenyewe kama yenyewe haigawanyiki tofauti na zile za zamani,hii inatua kama ndege ya abiria wametengeneza hii kwa kupunguza gharama maana zile za zamani zilikuwa zinagawanyika kwaiyo mpk tena kutengeneza vipande baadhi lkn hii inaweza kurudi tena kufanya kazi tena na tena
 
Swali langu mkuu. Je ile shuttle wanayoondoka nayo kutoka ISS kurudi katika earth Kwanini haifiki yote complete? Yani kitakachodondoshwa na parachute ni kile kichwa tu na the whole body inakua kama ime vunjika.Je hizo baadhi ya takataka zinazorudishwa huishia wapi? Nadhani wanaziachia hewani huko. Msaada tafadhali

Mimi pia ni mfuatiliaji, mi nachojua Russia wanatumiaga Soyuz spacecraft kwenda hiko ISS, wanadai zipo vizuri kiusalama kuliko hizo spacecraft nyingine. Hizi Soyuz kwa jinsi walivyozi design zina sehemu tatu ( orbital module, reentry capsule na service module) wakati wa kurudi duniani hizo part mbili (orbital module na service module) lazima ziwe destroyed ili kuiachia nasafi hiyo reentry capsule maana hii ndio imekuwa designed kwa ajili ya kurudisha hiyo crew duniani. Bila kuzitenganisha hiyo crew haitaweza kusurvive wakati wa kutua.
Hizo parts wanazitenganisha na zinalipukia huko angani.
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    5.4 KB · Views: 58

Okey.na pia kwa kuweka kumbukumbu sawa ni Soyuz pekee ndio shuttle iliyobaki kuwapeleka wana anga zajuu baada ya marekani kupumzisha shuttle yake mwaka 2011 kama sijakosea.
 
nimekuja kugundua kitu mrusi ni mkimya lkn ni hatari! ktk maswala ya sayansi hapendi kujitangaza sana kama mmarekani,hawa jamaa wameendelea sana hata ktk historia mtu wa kwanza kutoko nje ya dunia ni mrusi,mmarekani alikuja baada ya mrusi na kama tumjuavyo anapenda ujiko kwa kujitangaza lkn ni bora maana ni kweli yupo vizuri..
miaka ijayo mining ya madini itakuwa inafanyika kwenye space maana inaonyesha baadhi ya vimondo vinamadini! hizi people nyeupe zitakuwa mbele mpk basi.
 
Bila shaka .binafsi naamini kwenye science ya anga za juu mrusi ni mjuzi kuliko mmerikani.
 
Back
Top Bottom