MPOKEA KODI
Senior Member
- Apr 1, 2020
- 198
- 144
Picha zake itakua kaacha hospNyuzi zako uwa zinakosa PICHA TU
Watu wameumizwa sana, sasa kiduku anakosa gani?Kupitia comments za wanajf NDIYO nimegundua watu wengi wanamsongo wa mawazo juu ya maisha MNAZINUNIA HADI STORY ZA KIDUKU LILO jamaa anatutia hasira ya utafutaji na si vingnevyo
Tajiri Lilo leo umeamua kutafuta kazi?Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.
Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.
Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.
Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.
Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.
Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.
Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.
Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.
Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.
Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.
Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.
Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.
Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.
Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.
Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara AU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apple, Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.
Matajiri na baaadhi ya wasomi wakubwa Duniani wananambia bwana mdogo kwa hii CV labda ukaombe kazi Mbinguni tu. Huku Duniani ni kama tunakupunja. Halafu mpaka kitakosekana cha kukupa changamoto.
Huwa siwajibu kitu. Natabasamu tu coz nipo very Humble. Leo wananishangaa kuwa Why nakuja ishi nchi ya Dunia ya Tatu. Wakati ngeungana na watu flani flan tungeweza hata enda Ishi Mwezini huko. Au hata Mbinguni.
Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.

Tajiri Lilo leo umeamua kutafuta kazi?
KwaniniZile chai tupu lkn tulikuwa tunaenda nae hivyo hivyo....hii ya leo imebidi tumkatae mazima
Mkuu acha tu watu wanastress sana wakisikia fulani anapesa wao kaz yao kununa tu watanzania furaha yao kusikia Mengi bakharesa and the like kuwa wamefilisika Au stori za ngono hapo utasifiwa sana hawahawa wenye majibu ya hovyo wanomkosoa boss lilo ndio wamejazana kwenye uzi uitwao KULA TUNDA KIMASIHARA wa mkuu RIKIBOY tena wanajiachia vibaya mnoWatu wameumizwa sana, sasa kiduku anakosa gani?
Mbona wao wakileta stories zao jinsi wanaumizwa na hii awamu huwa hawapingwi?
Au hawaamin haya maisha kuna watu wanayaishi