Kumbe umeajiriwa tuuMi siyo Mhaya
Jiandae kuchukua notes kwa hilo swali[emoji3]Nina maswali 5 tafadhali naomba kujibiwa!
Swali la kwanza! Cheti chako cha mwisho ulichofuzu, ulisomea nini na kwa mda gan?
Hii chai imezidi viungo😀Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.
Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.
Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.
Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.
Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.
Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.
Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.
Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.
Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.
Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.
Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.
Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.
Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.
Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.
Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara OAU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apples, Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.
Matajiri na baaadhi ya wasomi wakubwa Duniani wananambia bwana mdogo kwa hii CV labda ukaombe kazi Mbinguni tu. Huku Duniani ni kama tunakupunja. Halafu mpaka kitakosekana cha kukupa changamoto.
Huwa siwajibu kitu. Natabasamu tu coz nipo very Humble. Leo wananishangaa kuwa Why nakuja ishi nchi ya Dunia ya Tatu. Wakati ngeungana na watu flani flan tungeweza hata enda Ishi Mwezini huko. Au hata Mbinguni.
[emoji16][emoji16][emoji16] huyu jamaa Ni dish"Ukaombe kazi mbinguni"
Angalia usije ukawehuka we muhaya
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapana.si suala la kusoma sana. Ni kuwa very smart. Sipendi kutumia haya maneno. Ila wenyewe wanasema nina akili sana. Mimi nina Masters tu na Vyeti vingi vya training mbalimbali toka vyuo mbalimbali kama Yale, Oxford,Cambridge, Calfonia, Harvard, Massachutes n.k. Na training ambazo zimewahi tolewa na watu muhimu duniani wenye akili za ziada. Akina Musk,Mark,Bill etc.Kwamba Kiduku Lilo ndiye msomi wa juu zaidi duniani😂😂😂
woiiHapana.si suala la kusoma sana. Ni kuwa very smart. Sipendi kutumia haya maneno. Ila wenyewe wanasema nina akili sana. Mimi nina Masters tu na Vyeti vingi vya training mbalimbali toka vyuo mbalimbali kama Yale, Oxford,Cambridge, Calfonia, Harvard, Massachutes n.k. Na training ambazo zimewahi tolewa na watu muhimu duniani wenye akili za ziada. Akina Musk,Mark,Bill etc.
Pia kuna Makampuni makubwa ambayo nimefanya nao kazi wakanipa vyeti vya shukrani na kutambua mchango wangu Duniani. Amazon,Alibaba,Google,BMW,GMC,Merc Benz, Range Rover, Yahoo. Na mashirika zaidi ya 20 ya Kimataifa Duniani. So wala si kwamba nmesoma sana. Hamna ni kawaida tu sema nina exposure kubwa.
Ile range used unaiuza lini mkuuHapana.si suala la kusoma sana. Ni kuwa very smart. Sipendi kutumia haya maneno. Ila wenyewe wanasema nina akili sana. Mimi nina Masters tu na Vyeti vingi vya training mbalimbali toka vyuo mbalimbali kama Yale, Oxford,Cambridge, Calfonia, Harvard, Massachutes n.k. Na training ambazo zimewahi tolewa na watu muhimu duniani wenye akili za ziada. Akina Musk,Mark,Bill etc.
Pia kuna Makampuni makubwa ambayo nimefanya nao kazi wakanipa vyeti vya shukrani na kutambua mchango wangu Duniani. Amazon,Alibaba,Google,BMW,GMC,Merc Benz, Range Rover, Yahoo. Na mashirika zaidi ya 20 ya Kimataifa Duniani. So wala si kwamba nmesoma sana. Hamna ni kawaida tu sema nina exposure kubwa.
Mkuu nina YouTube channel yangu.Leo mmoja ya ma profesa watano ambao walikuwepo kwenye Interview panel waliyonifanyia amenipigia simu kunisalimia.
Nakumbuka siku hiyo nimeitwa kwenye interview kulikuwa na watu 10. Maprofesa 5, Phd Holders 3 na ma CEOs wa Makampuni makubwa Duniani 2.
Interview ilianzia Kenya,ikaenda South Africa,Ikaenda Egypt, ikahamia Ulaya na Marekani.
Pale Kenya ndo walinichoka. Waliniuliza kwa nini tukuchague wewe na si wengine.
Niliwarekebisha kwanza. Nikawaambia siyo wao wanichague. Mimi ndo niwachague kufanya nao kazi.
Jamaa walishtuka Mmoja akauliza kwa nini. Na kumbuka hili ni shirika la Kimataifa la fedha Duniani.
Nikawaelezea CV yangu ni kubwa sana. Prof mmoja akasema nimpelekee. Nikampelekea. Akanambia "Siyo kitabu nipe CV yako" nikamwambia ndo hiyo. Akasema hapana. Akafungua akakuta kuna pages 200.
Wakasema niwape muda wajadiliane mambo. After 10 mins wakaniita wakanambia wameamua nijielezee.
Nlianza jielezea saa 3 ile mpaka saa 6 nawaeleza Makampuni ambayo nimefanya nayo kazi na pia Elimu yangu. 3 hours wakanambia nipumzike kwanza nao wapate break.
Baadaye waliponiita wakasema nimebakiza kama muda gani. Nikawaaambia masaa kama 6 hivi ndo nimalize. Wakanijibu niachane nayo wameshanielewa.
Basi nikawaambia waniulize maswali.wakawa hawana wanatizamana tu usoni na kila mtu naona alikuwa busy kuandika nliyokuwa naongea. Nlikuwa kama nawapiga lecture.
Saa zima nawasubiri waniulize maswali wanategeana. Nikawaambia basi niwaulize mimi maswali. Wakagoma kabisa.
Wakasema suala langu niende nikajadiliane na watu wa South Africa, kule wakasema niende Egypt kule wakasema niende nchi kadhaa za Ulaya, wakanisukumia China,wakanirudisha USA. Huko ndo wakaniuliza kwa nini kwa ile CV nmeamua kufanya kazi nao maana wanaona kama hakuna Shirika Duniani linaweza ni hire.
Nikawaambia ni mapenzi tu kutaka isaidia Dunia wakaniomba niwatajie nataka nilipwe Usd ngapi. Ila wakanisihi sana nisije nikatamka kubwa mpaka wakanikosa.
Basi ndo Kuajiriwa. Sikai sana Ofisin mara ILO wanataka kunitumia, mara IMF mara WHO, mara UNHCR, mara UN, mara OAU yaani nimejikuta tu kila sehemu wananitaka. Ukiacha Apples, Bill Gates, Warren Buffet, Ali Baba, Amazon ambao wao hutaka nifanyie tu Consultation. Wananilipa kwa sekunde.
Matajiri na baaadhi ya wasomi wakubwa Duniani wananambia bwana mdogo kwa hii CV labda ukaombe kazi Mbinguni tu. Huku Duniani ni kama tunakupunja. Halafu mpaka kitakosekana cha kukupa changamoto.
Huwa siwajibu kitu. Natabasamu tu coz nipo very Humble. Leo wananishangaa kuwa Why nakuja ishi nchi ya Dunia ya Tatu. Wakati ngeungana na watu flani flan tungeweza hata enda Ishi Mwezini huko. Au hata Mbinguni.
Mkuu hiyo kazi nitaifanya ngoja nimcheki Kiduku lilo pmNahitaji mtu apige picha na kiduku lilo. Ntainunua kwa tsh 50,000.
Ivi buza ina dharaulika sanaa....Isikute uli risit form 4 mara tatu
Na hapo ulipo umepanga chumba kimoja buza, endelea kuota inaruhusiwa