Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

😆😆😆😆😆
 
Dauuuu mwananguuu 😂 nimecheka sana mavi yamedunda kwenye boxer na kurudi 😂😂😂

Ila we jamaa una kipaji aisee, kama vp njoo inbox nkufundishe jinsi unavyoweza kutumia hiki kipaji kupata vi laki 5 kila mwezi kwajilibya kumlipa kijana wako anaekuchomeaga nyama ya mbuzi
 
Umetusimulia hadithi nzuriiii, ila Ina wafaa watoto wakujibu uongo njoo na utamu kolea
 
Kwa CV uliyonayo uje nyumbani unifanyie usafi.
 
Kiduku ukishaanza kucheua mihogo ndio huwa unakuja na fiksi zako hahaha
 
Siku ikitokea Kuna sherehe yoyote ya jf na wewe ukasema nmefika bc kuna watu watapanda ndege waje kuhudhuria Mana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kujifarij sio dhamb
 
Asante Kaka Kiduku Lilo Kwa kutuwakilisha vyema watanzania huko Duniani..

Nitumie kitabu chako cha Siivii na Mimi nile hapo Desa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…