Hii ndio jamii ya Jamiiforums

Hakuna sehemu nimewahi kukomenti humu kwamba nateseka na hayo uliyonihusisha.
Watu tunauthibitisho tulia kijana usifanye maharage yakamwagika stay calm stay cool usije ingia kwa wabishi pia 😂
 
Kabisa mimi naamini "sheria zipo ili zivunjwe!"
Ngoja kidogo niwachokoze watunga sheria.
 
Uzi kama huu upo humu japo wewe umeuleta kwa namna yako lkn maudhui ni yale yale,, ok by the way ukifika kwa wenye gubu usinisahau na kwenye list yako ya wapole Nuzulati kakosekana vipi
Sikujua Kama upo.. mkuu siwezi kuweka watu wote ndo muwataje Kama hivi Sasa..

Ati wenye gubu..😂
 
Wachawi wa jamiiforum.
Naomba hii sekta nisiizungumzie Sana niweke tu yule mnaemfahamu Mshana Jr [emoji23][emoji23].
 
Miss Pablo na style ya uchangiaji mtamu....hivi huyu si CIA pale Langley Virginia ?!!!🤣
 
Mbona hujaweka waoweka stori ndefu halafu wanaingia mitini katikati...
 
Orodha iendelee,
Wale wa team uzi bila picha haunogi?
Kundi la ‘Mtoa mada sema ni wewe, unamsingizia Rafiki yako’
Na wale wanaowahi siti za mbele kabisa na ‘kusubiri waje’?
Wale wanaokula kimasihara?
Kuna watu wameweka kambi Jukwaa la ‘Bodi’
Na wale wenye uzoefu ujuzi na kila kitu jf,
Kuna wale wenye kufukua makaburi
 
uzi huu una tofauti gani na huu?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…