Hii ndio kanuni ya kijasusi ya kuishi na watu ambao hawataki kuona wengine wakifanikiwa

Hii ndio kanuni ya kijasusi ya kuishi na watu ambao hawataki kuona wengine wakifanikiwa

The fact kwamba kiuhalisia unawaona sio lolote. Kunakufanya wewe uwe kama wao au mbaya zaidi yao.
Tofauti yenu ni kwamba wao wanaongea uhalisia wao ila wewe unaficha uhalisia wako. Kitu kinachothibitisha uhalisia wao juu yako. Labda kweli wewe sio chochote na insecurities zako ndio chanzo cha kuwaona jinsi walivyo. Labda hawakuwa na nia mbaya at all bali victim mindset na insecurities ndio zinakusumbua.

Mtu yoyote unayemwambia kitu chako alafu anaitikia kinafiki kama huyu jamaa na kushindwa kukwambia ukweli sababu ndani anayake anayoyaficha kutokana na kutokujiamini na insecurities zake.

Kaa naye mbali. Huo unaitwa unafiki na victim mindset. Hao sio watu ni nyoka hatari sana wenye sumu kali.
 
Back
Top Bottom