Hii Ndio Kenya Uchumi Unaokua Kwa Mwendokasi!

Vipi tena ndugu!? Imekuwa vita!? Sisi ni LDC wakati nyie ni Developed Country. Hizi ni stress za kukosa chakula 😀😀

chimbia kichwa mchangani ata zaidi, ukiimbuka hapa bado ni tanzania ya viwonder!!!
hali ya hospitali tanzania


HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeeleza sababu za kuwapo msongamano katika wodi ya wazazi kuwa ni pamoja na magonjwa mbalimbali yanayowakumba wanawake kabla na baada ya uzazi.
Msongamano mkubwa wa wagonjwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC umesababisha madaktari kutoa huduma katika mazingira magumu na hatari kwao wenyewe na pia ...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…