Hii ndio ligi bora mpaka sasa.

Hii ndio ligi bora mpaka sasa.

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu?

Wakuu kwa muda mrefu sasa nimeona watu wakiwa wanabishana sana ipi ni ligi bora bira kufikia muafaka na mimi nimeona sio mbaya nikaongelea hilo labda tunaweza kufukia muafaka na watu wakaelewa.

Kwa mtazamo wangu naona epl ndio ligi bora naitaendelea kuwa bora tu.

Kwanini epl ndio ligi bora sababu ni timu zilizopo epl zinaushindani sana kuanzia kwenye makocha mpaka na timu zenyewe tofauti na kwenye ligi zingine.

ushindani unaleta ubora kwenye sehemu fulani ,sehemu pakiwa na ushindani na ubora unakwepo.

Ngoja nianze kwa mifano kidogo ili nieleweke

Msimu wa 2003/2004 wenger Baada ya kuchukua ubingwa na timu kucheza mechi 48 bila kufungwa(the invincible) mpaka leo anashindwa kuchukua epl

Msimu uliofata jose mourihno akachukua epl mara mbili mfululizo Baada ya hapo akaonekana hawezi tena kuipa ubingwa timu akafukuzwa.

Sir Alex fagerson licha ya kuwa kocha bora lakini ni kuna misimu anatoka bila hata ya kombe moja

Msimu wa 2014/15 chelsea wanachukua ubingwa wa epl msimu uliofata huyo kocha akaonekana kimeo akatimuliwa.

Msimu wa 2015/2016 leicester wanachua ubingwa epl msimu unaofata anaonekana hana uwezo tena wa kuifanya timu ikafanya vizuri tena anafukuzwa kwenye timu.

Msimu wa 2016/2017 antonie conte anachukua ubingwa wa epl ,msimu 2017/2018 conte anaonekana soon kutimuliwa.

Epl kila katika ya msimu na mwisho wa msimu lazima makocha wafukuzwe kwenye timu walizokuwa wakifundisha.

Makocha wengi epl wanafukuzwa kila katikati ya msimu wa ligi na mwishoni .

Inaonesha epl kila timu inataka matokeo aijalishi inacheza na timu gani.

Point yangu ipo hapo kwenye ushindani . Timu Ukiifunga mechi ya kwanza mechi ya marudiano wanabadilika wanakufunga wao. Na sio kama ligi zingine timu zinafungwa mechi zote kilaini tu na makocha wanaachwa tu Epl hakuna huo ujinga .

Ligi ya epl ni bora kwasababu kunaushindani wa timu
Katika kupata matokeo.ubora wa ligi me naangalia ushindani wa hiyo ligi na sio timu ya ligi fulani kuifunga timu fulani ,barcelona kuifunga manchester sio kigezo la liga ndio ligi bora ,ila barcelona ni bora zaidi ya manchester.

swala la timu za la liga kuchukua uefa mara nyingi barcelona na madrid ni bora na sio ubora wa ligi yao.

Hauwezi kuipima ligi fulani bora kwa kuziangalia barcelona na Real Madrid tu.

Ikumbukwe barcelona na madrid wanauwezo wa kumchukua mchezaji yoyote wanaomtaka na ukiangalia kwenye timu zenyewe uwezo wa kipesa barcelona na madrid wako kwenye nafasi tatu za juu wanabadilishana tu hapo.

Wachezaji bora kutoka la liga ni ubora wa wachezaji wenyewe messi na ronaldo na sio ubora wa la liga .

Mfano msimu ulipita ronaldo amechukua mchezaji bora wa dunia lakini kigezo moja wapo ni kwamba amechukua uero na timu ya taifa.sio ubora wa la liga ndio umempa ushindi.

Ligi fulani kutoa mchezaji bora ndio inamaanisha ligi hiyo kuwa bora? Mfano ricardo kaka kuwa mchezaji bora wa dunia ndio kunafanya ligi ionekane ligi bora?

Hapo ni uwezo wake binafsi kwa sababu kuna vitu vingi mpaka amefikia huo uwezo.

Ubora wa ligi uko kwenye ushindani wa ligi wenyewe baina ya timu na timu kwenye ligi .

kwenye epl timu inayoshika nafasi ya mwisho kuifunga timu ambazo tunazoziita bora ni kawaida sana imetokea mara kibao. Ndio maana hiyo ligi tunaipenda wengi nakuifatilia ,kuifurahia na kibora chochote lazima kipendwe na kufurahiwa.

Epl Ndio ligi pendwa kwa sasa ,kama ndio ligi pendwa basi ndio bora hiyo.watu wanapenda vilivyo bora.

Sababu zako ni zipi za ligi kuwa bora?
 
kwa factor yako moja kuwa LIGI BORA ni ile yenye USHINDANI nakubali ila ushindani huo unapimwa kwa kuzikutanisha timu hizi na timu za ligi nyingine ndio maana kukawekwa mashindano ya Uefa ambapo hukutanishwa timu za bara la ulaya amabapo pia ligi ya epl inapatikana swali langu ni je ushindani wanaoonyesha kwenye mashindano hayo wanapokutana na timu za ligi nyingine ni wakutosha?
 
alivyonyukwa Madrid na spurs hujaamini au..ngoja uone PSG atamfanya nn Madrid na Chelsea yule giroud atawaliza barce
 
Back
Top Bottom