Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
wakuu hizi ndizo gazi 10 ambazo bei zake zinazifanya kuwa gari ghali zaidi kwa mwaka huu, sijui hawa wanao nunua hizi gari huwa wanafikiria nini, japo gari nzuri na luxury lakini hizo bei zimenifanya nijiulize mara mbili mbili juu ya wanunuzi wake kama wana akili sawasawa, hiyo hela bora wangenunua vitz tu alaf chenchi waka jenga tuu..