mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Mkuu ferrari ya mwaka 2000 ina qualify kua vintage?Umeona comment ya mdau hapo juu lakini
" Kiferrari"
Halafu Enzo Ferrari gari yake ya kwanza ilitoka 1947
Halafu haina hadhi ya kuwa vintage?
Kwani vintage iwe na umri gani to qualified
Naomba unisaidie hapo