Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Duh mzee hyo si bajeti ya wizara ya maji kwa mwaka 😀😀Hiyo ya billioni 29 hujaweka kodi hapo kama ndio unaingiza tz ukiweka na kodi lazima igonge billioni 29 nyingine hivyo hiyo gari thamani yake mpaka una ihold lazima itakuwa si chini ya billioni 58 ha hahaaa imenibidi nicheke hiki ni kituko
unganisha bombardier zenu kama 5 ndo unapata hyo lamborghini hapoBombardier yetu vipi haijaingia top ten
aisee hata kama ningekua nazo nisingefanya upuuzi huoKwa sababu huna fedha ndo unashangaa
dah kweli itabidi tuwaachie kina kardashian tu, tule kwa macho tuHuyu jamaa alienunua Rolls Royce amefichwa jina lakini ni tajiri mkubwa sana.
Na hili gari ni ghali kwa sasa (mpya) kwani ni costume made, lakini Ile Ferrari 250 GTO iliyouzwa kwa $38m ndio ilikuwa kiboko
Yaani haya magari tuwaachie kina Kardashian na P Diddy na kina Simon Cowell
ukute ni kiferrari cha mwaka 2000 hchoKuna ki Ferrari na kiona moshi mjini sijui ni binadamu gni huyo,ila haya magari ni ya binadamu wa kawaida au ni ya Allen
Jwakuu hizi ndizo gazi 10 ambazo bei zake zinazifanya kuwa gari ghali zaidi kwa mwaka huu, sijui hawa wanao nunua hizi gari huwa wanafikiria nini, japo gari nzuri na luxury lakini hizo bei zimenifanya nijiulize mara mbili mbili juu ya wanunuzi wake kama wana akili sawasawa, hiyo hela bora wangenunua vitz tu alaf chenchi waka jenga tuu..
Kwa sababu huna fedha ndo unashangaa
Bombardier yetu vipi haijaingia top ten
Umeona eedah kweli itabidi tuwaachie kina kardashian tu, tule kwa macho tu
Ferrari kila inapozeeka ndio inapanda thamani.Kuna ki Ferrari na kiona moshi mjini sijui ni binadamu gni huyo,ila haya magari ni ya binadamu wa kawaida au ni ya Allen
Si ile aliyouziwa na mtoto wa bakhressa.Ni old model lkn kibongo bongo bado jamaa amepiga hatua.ukute ni kiferrari cha mwaka 2000 hcho
haha kweli tuna miaka 1000 mpaka kuwafkia wenzetu,Si ile aliyouziwa na mtoto wa bakhressa.Ni old model lkn kibongo bongo bado jamaa amepiga hatua.
Watu hata passo ni shughuli pevu na mikopo juu.
Hahah zile ni za long sana mkuu,ila sababu tuko bongo ndo hivo tenahaha kweli tuna miaka 1000 mpaka kuwafkia wenzetu,
niliwah kuona lambo kama 3 ukijumlisha na ile ya mtoto wa bakhresa nilipoenda ku google kua ni za mwaka gani ndio nilichoka kabisa
Usichanganye na Vintage collection.Ferrari kila inapozeeka ndio inapanda thamani.
Acha kabisa
Umeona comment ya mdau hapo juu lakiniUsichanganye na Vintage collection.
Bado sana hizo ferrari ku qualify kua vintage.