Hii ndio list ya gari 10 ghali zaidi duniani kwa mwaka 2018 - 2019

Umeona comment ya mdau hapo juu lakini
" Kiferrari"
Halafu Enzo Ferrari gari yake ya kwanza ilitoka 1947
Halafu haina hadhi ya kuwa vintage?
Kwani vintage iwe na umri gani to qualified
Naomba unisaidie hapo
Mkuu ferrari ya mwaka 2000 ina qualify kua vintage?
 
Hapana sikuwa na maana hiyo ya 2000 bado sana
Ila alivyoponda ndio nikaandikia hivyo.
Hii ndio vintage kweli mkuu iliyovunja rekodi duniani kwa bei mbaya
Hii ya 1962 ina deserve kabisaaa no doubt mkuu,nili base comment yangu kwenye hio ya mwaka 2000.

Pamoja mkuu.
 
Hiyo ya billioni 29 hujaweka kodi hapo kama ndio unaingiza tz ukiweka na kodi lazima igonge billioni 29 nyingine hivyo hiyo gari thamani yake mpaka una ihold lazima itakuwa si chini ya billioni 58 ha hahaaa imenibidi nicheke hiki ni kituko
Inatemba angani?
 
HAYO MAGARI UKIPINDUKA NAYO HAYABOMOKI, GARI INATOKA NZIMA..

MSHAHARA WAKO WA MWEZI NDYO MAFUTA YA SKU MOJA YA MIZIUNGUKO YA MJIN.

KUNA MAISHA BORA NA BORA KUISH
 
Nyumba wanazo Mzee.
 
Watu wanishi si wengine tunasindikiza. Boxer 150 naona nina chombo cha gharama
 
akili ya kimasikini hiyo ndo inakutesa we pia ukiwa na hela huezi fanya unavyowaza ....asa anunue vitz afu ajenge aliokwmbia anaefanya hivyo hajajenga au kununua nyumba nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…