Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,829
ukiona hivyo imekukumbusha mbali!imekuwa sawa na kutupa jiwe gizani!
hahahahaaaa we nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiona hivyo imekukumbusha mbali!imekuwa sawa na kutupa jiwe gizani!
kuna madam chuo anaheshimika sanaaa anafundisha masomo magumu magumu. Yuko anatoa kipindi nkaona love bite, aisee nlijikuta nawapa taarifa wa pembeni yangu maana nlishindwa kuvumilia kumuona madam na ile kitu. Ni aibu sijui ni nini. Nikiwa nazo ni full kujifunika muda wote.
Labda univizie ndo uziweke kwa mwili wangu ila sipendi haswaa
Mnhh umewahi pewa love bite za wowowo? Muulize Husninyo na Bantu lady
😅 unapenda niniMm binafsi sipendi love bite...mmmh hapana mwezangu mambo ya kung'atana mashingo siyawez
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi demu wangu alinambiaga nimtoe hiyo love bite....kipindi hicho hata sijui ndo kitu gani asee ....si nikamng'ata ?! Nikala bonge la kofi
Teh teh teh 😃 😃 kazi kweli kweliKuna dada mmoja niliwahi kukutana nae , na alikuwa amenizungusha sana siku ya kukutana nae nikaona ni mrembo balaa maana sikuwahi kukutana nae live tulikuwa tunaongea Kwa simu na Hela nikiwa namtumia ila kutoka arusha kuja dsm ikawa mtihani , siku tunakutana tulifurahi balaa , tukapiga bia za kutosha kisha tukaendq kuzagamuana , yule dada alikuwa na balaa Yaani alininyonya chuchu zangu sio poa nillikuja KUANZA kuhisi maumivu kesho yake , na Kwa muda wa siku kama 4 hivi chuchu zinawaka moto , dah sijui ndo love bite zenyewe hizo we acha tu
hahahahahhaKuna dada mmoja niliwahi kukutana nae , na alikuwa amenizungusha sana siku ya kukutana nae nikaona ni mrembo balaa maana sikuwahi kukutana nae live tulikuwa tunaongea Kwa simu na Hela nikiwa namtumia ila kutoka arusha kuja dsm ikawa mtihani , siku tunakutana tulifurahi balaa , tukapiga bia za kutosha kisha tukaendq kuzagamuana , yule dada alikuwa na balaa Yaani alininyonya chuchu zangu sio poa nillikuja KUANZA kuhisi maumivu kesho yake , na Kwa muda wa siku kama 4 hivi chuchu zinawaka moto , dah sijui ndo love bite zenyewe hizo we acha tu