Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe.
Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap.
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna minyoo,virusi,bacteria n.k
Mdudu nikiumbe hatari kwasababu anaweza akaingia popote nakusababisha madhara mfano wadudu wanaweza kuingia kwenye matunda nakuharibu,kwa wanyama,kwa binadamu nakadhalika nakuharibu mpaka kuhatarisha vifo.
Mdudu hazuiliki anaweza kupenya popote.
Hawa vijana walioanzisha hili jina la wadudu ni vijana ambao walikuwa wanajihusisha na uporaji kama kuvunja maduka,kutoboa paa na kuzama nakuchukua chochote,kutoboa ukuta na kuingia ndani na kuchukua chochote...tatu mzuka kushukaa na kukurukia kama mwewe na kuondoka na chochote.
Hawa jamaa ndio wakaanza kujiita wadudu wakimaanisha wanaweza kufanya chote mahali popote na muda wowote.
Nadhani Poul Makondo alivyokuja ametafiti akajua hilo ndio maana mwanzoni kama alianza kupinga hilo jina kinamna...ila baadaye akaona abadilishe kutoka wadudu wanaoumiza kuwa wadudu wasio humiza..nadhani ameweza kufuta hiyo tafsiri ya mwanzo kwa hiyo sasa inawafanya hawajamaa wabaya wajitenge na hilo jina la wadudu kwasababu limeshaondoa maana yao halisi.
Naona ni hatua pia katika kupambana na uhalifu kwanza kisaikologia.