Hii ndio mahana halisi ya taifa lenye uchumi wa kati

2018
Gor Mahia emerged victorious in the final match of the 2018 Sportpesa Supercup. They beat Simba of Tanzania 2-0.
2018
Gor mahia beat Yanga 2-0 in Dark est Sluum
2018
Gor Mahia beat Yanga 2-0 in Nairobi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kutwanga tu!
 
hiyo michuano ya sport pesa simba na yanga walikua wanaichukulia poa sana na walikua wanawatumia wachezaji wa kikosi cha pili, wakati gor mahia walikua wanakuja wamepania kuzifunga simba na yanga.

Sasa hivi ukiwauliza wachezaji wote wa gor mahia watakuambia wanapenda kuja kucheza Tanzania tena simba au yanga
 
Tanzania is a country of One City, One Stadium and One Party...CCM
Dar es salam pekee ina viwanja viwili vikubwa Kenya nzima hakuna, pia kuna timu kama azam wanamiliki uwanja mzuri sana,

Na tuna viwanja vizuri tu kwenye mikoa mingine so watu watakucheka utakaposema Tanzania kuna kiwanja kimoja
 
Siku mtakuwa na kitu kama hiki unitag please. That`s 60,000
View attachment 1554629
Hivi huu upuuzi hata hakilingani na kiwanja chetu cha uhuru stadium sasa ndio uje ulinganishe na dimba la mkapa, yahani kwa Africa nchi viwanja ambavyo vinaweza kukishinda kiwanja cha mkapa ni South Africa na waarabu tu nyie wengine mtasubiri sana.

Na mwakani tunahanza ujenzi wa stadium yenye uwezo wa kubeba watu 80000 hapo jijini Dodoma
 
Dar es salam pekee ina viwanja viwili vikubwa Kenya nzima hakuna, pia kuna timu kama azam wanamiliki uwanja mzuri sana,

Na tuna viwanja vizuri tu kwenye mikoa mingine so watu watakucheka utakaposema Tanzania kuna kiwanja kimoja
Weka ushahidi wa kiwanja kingine...bure kabisa
Weka ushahidi wa hicho kikosi Cha pili!
 
Dah, Wana shida sana hawa watu, na hii Corona ndio inawazika kabisa, misaada ya kupambana na Corona nayo, imeibwa. Pathetic
Wekeni ubinadamu basi, uhasimu uwepo ila sio uhadui. Comments nyingine zinaudhi, wenzio wanafariki wewe unyawakejeli! Huu ni uchawi, sio lazima uamke ucku ukawange ila huu pia uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…