mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
2018๐๐ hebu acha ushamba Gor mahia hiyo timu ilikuja bongo ikafungwa na mbao timu iliyoshuka daraja, ndio kwenu timu tishio kwanza wachezaji wake wanaikimbia aiwezi hata kulipa mishaara kwa wachezaji.
Najua uko kenya Hakuna timu inayoweza kujaza kiwanja chenye capacity yakubeba watu elfu sitini tena wakiwa wameingia kwa kulipa kiingilio lazima ushangae useme ni photo shoot
Gor Mahia emerged victorious in the final match of the 2018 Sportpesa Supercup. They beat Simba of Tanzania 2-0.
2018
Gor mahia beat Yanga 2-0 in Dark est Sluum
2018
Gor Mahia beat Yanga 2-0 in Nairobi
๐๐๐๐ Kutwanga tu!