Hii ndio Marekani miaka ya 1800

Hii ndio Marekani miaka ya 1800

Iliyobaki kujifunza Yale mazuri kutoka kwao. Wanaipenda nchi yao kwa moyo wao wote na wamepanga kuijenga by hooks or by crooks. Hakuna mambo ya kutetea kuchuma pesa za wananchi na kupeleka India au Canada nk
Mengine hats tukijifunza hatuwezi tena fanya. Kuna vitu vinahitaji fanyika katika time frame fulani.
 
Mengine hats tukijifunza hatuwezi tena fanya. Kuna vitu vinahitaji fanyika katika time frame fulani.
Never give up hope kuna njia tofauti ya kufika kwenye maendeleo. Maendeleo ya kweli hayana formula.
 
Walikua wanachukua nguvu kazi na rasilimali kutoka kwetu kwenda kwao huku wakitizuia kusoma kututengeneza makundi kati yetu karibu 200 tunawajengea nchi zao tu unadhani tutawakuta lini? Kwa gape hili walipoondoka wakatuachia ubepari kiongozi akiingia madarakani anawaza tumbo lake kwanza makundi ya dini wasomi na wasiosoma hapa unapata civil war ili tusijikongoje tukawakuta Mimi naamini hapa tulipo kwa kiasi kikubwa ni athari ya mkoloni

Miaka 60 Tangu Afrika ianze kujitawala bado unalalamikia ukoloni kweli? Sisi kama waafrika tunatatizo ambalo ili tuendelee tunatakiwa kuli-address, lakini kubwa zaidi ni ubinafsi,uongo,wizi,kutowajibika inavyotakiwa.ndiyo maana unawaona watu kama kagame ,mseveni,mgabe, badala ya kujenga taasisi imara wao wanajiimarisha wao binafsi,na kukwama kwa katiba ya warioba ni mwendelezo wa mawazo hayo hayo. Waafrika kazi kwetu.
 
Kama ulireje vizuri post yangu sijalalamikia ukoloni moja kwa moja ila athari zilizopo zinatokana na chembe chembe za ukoloni wasomi wanaita colonial legacy kwa kiasi kikubwa sikatai ngozi hii tayari ina matatizo ila Na pia utambue ukoloni haujaisha ila umerudi kwa sura mpya na nia nyingine kabisa alafu indirect
Jaribu pia kuwaza tu wasingekuja kwa nia ya kutawala wangechukua walivyotaka ila wangesomesha vijana wa wakati ule wangeshare skills na sisi nadhaani Africa ingepaa gape LA miaka 200 na sio dogo ila tungeli punguza angalaua 150 years kimaendeleo uchumi hata science hatukua wajinga kiivyo angalia historian ya kina Mansa Kan Kan Musa walizimwa hawa kwa miaka 200 tunajenga kwa watu pia tumekalilishwa maisha mazuri wanastahili watu wachache

So mkuu tutaendele ila hili gape litabaki hivi hivi Dar es Salaam ikifika kama New York vuta taswira New York itakuaje
 
Never give up hope kuna njia tofauti ya kufika kwenye maendeleo. Maendeleo ya kweli hayana formula.
Tatizo hizo njia zinahitaji sana,taifa kuwa na nidhani fulani katika kila idara muhimu.Otherwise maendeleo yatakuja na shida kibaoa kama utumiaji wa madawa,Ukimwi ,kamari na mengine ambayo yataua taifa fasta kabla halija take off. Kwa sasa,Serikali ya ccm ina watu wasio na maadili matokeo yake na sheria wanazotunga zina reflect katika ukosefu huo huo wa maadili.Ni sheria za kufunga watu wasihoji wizi,uvunjaji wa sheria ,kuua upinzania ili wabaki wao wakila na kunywa bila kuhojiwa.
 
Mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe. Anza kufikiri positive, kama umeajiriwa au ni mfanya biashara concentrate on it! Usilalamike....kumbuka kizazi cha waisrael waliokuwa watu wazima waliangamia jangwani wote wakabaki wawili tu na mifupa ya Yusufu.
 
Back
Top Bottom