Hii ndio mikakati madhubuti ya serikali kuimarisha Elimu Tanzania?

Hii ndio mikakati madhubuti ya serikali kuimarisha Elimu Tanzania?

josias

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
47
Reaction score
34
Serikali ya Tanzania mda mwingine inashindwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha sekta ya elimu. Hatua ya serikali kuongeza daraja E katika matokeo ya mwaka huu ime msikitisha kila mpenda elimu na mwenye uelewa kuhusu elimu.Tathimin juu ya ufaulu huu ambapo asilimia 42 ya wanafunzi waliohitim wamepata divission 0, asilimia 27 wamepata division 1 had 3 na asilimia 31 imepata division 4....Tafakari ni asilimia ngapi imepata division 4 ya kuwawezesha kuingia vyuo vya certificate?utabain ni asilimia 10 tu au pungufu. Hii in maana asilmia 63 ya wahitim hawana pa kwenda zaid ya kubaki mtaani. Pamoja na matokeo haya kumbuka daraja "E LIMESAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA WALIO FAIL" Maana E inachukuliwa kama ufaulu. Unadhani mikakati hii ya serikal ni Madhubuti?

Serikali isitufumbe kwa kupanga madaraja ya laiser faire badala ya kuboresha mazingira ya walimu, kuboresha miundo mbinu ya kutolea taaluma,na kuimarisaha upatikanaj wa nyenzo zote za utoaj wa taaruma....Nina udhika kuona Division3 ya 29, division 4 ya 40 had 42 ,na 0 ya 48. Hii nchi tuna buruzwa"but changes will come......but how changes will come while intellectuals we have are like those who are in constitution parliament?
 
Madaraja haya husiani na kudorola kwa elimu, madaraja ni njia ya kupima kiwango cha elimu kuanzia kindagate mpaka chuo kikuu, huwezi pima mwenendo wa elimu kwa madaraja tofauti tofauti.
Cha msingi ni kuangalia jinsi ya kupunguza idadi ya watu walio pata hizo e na f.
 
Serikali ina think like a MAN na kuact like a Lady
 
Back
Top Bottom