Hii ndio mikoa 10 inayoongoza kwa utajiri. Vipi Mkoa wako umeuona hapa?

Hii ndio mikoa 10 inayoongoza kwa utajiri. Vipi Mkoa wako umeuona hapa?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Hii ndio mikoa 10 inayoongoza kwa utajiri hadi kufikia mwaka 2025 kwa kuangalia pato la mkoa husika kwa mujibu wa Ripoti ya BoT ya Utendaji wa Kiuchumi ya Juni 2026 (Consolidated Zonal Economic Perfomance Report for the Quarter Ending June 2026).

Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara

1. Dar es Salaam - Tsh. Trilioni 39.8
2. Mwanza - Tsh. Trilioni 16.7
3. Mbeya - Tsh. Trilioni 12.9
4. Morogoro - Tsh. Trilioni 11.4
5. Arusha - Tsh. Trilioni 11.1
6. Tanga - Tsh. Trilioni 10.9
7. Geita - Trilioni 10.5
8. Kilimanjaro - Tsh. Trilioni 10.5
9. Tabora - Tsh. Trilioni 8.7
10. Mara - Tsh. Trilioni 8.6
 
Utajiri kwa mtazamo wa jumla ni faida kwa serikali na si mtu mmoja mmoja.

Unaambiwa Nigeria ni nchi masikini duniani lakini ina matajiri wengi tena wenye utajiri wa kutisha mfano Aiko Dangote
 
Utajiri kwa mtazamo wa jumla ni faida kwa serikali na si mtu mmoja mmoja.

Unaambiwa Nigeria ni nchi masikini duniani lakini ina matajiri wengi tena wenye utajiri wa kutisha mfano Aiko Dangote
Kina Tony Elumelu
 
Mikoa ingetengwa kila mkoa ujitegemee, tufute mfumo wa serkali ya taifa tuwe na serkali ya mkoa, kama kuna ishu tunakutana kama AU
 
Hii ndio mikoa 10 inayoongoza kwa utajiri hadi kufikia mwaka 2025 kwa kuangalia pato la mkoa husika kwa mujibu wa Ripoti ya BoT ya Utendaji wa Kiuchumi ya Juni 2026 (Consolidated Zonal Economic Perfomance Report for the Quarter Ending June 2026).

Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara

1. Dar es Salaam - Tsh. Trilioni 39.8
2. Mwanza - Tsh. Trilioni 16.7
3. Mbeya - Tsh. Trilioni 12.9
4. Morogoro - Tsh. Trilioni 11.4
5. Arusha - Tsh. Trilioni 11.1
6. Tanga - Tsh. Trilioni 10.9
7. Geita - Trilioni 10.5
8. Kilimanjaro - Tsh. Trilioni 10.5
9. Tabora - Tsh. Trilioni 8.7
10. Mara - Tsh. Trilioni 8.6
Pato la mkoa la jumla hivi halina maana kama hujatoa idadi ya watu ili kujua hata kwa wastani kila mtu anapata ngapi.

Kwa sababu, inawezekana mkoa A wenye watu wachache ukawa na pato dogo kuliko mkoa B wenye watu wengi, lakini, ukipiga hesabu za pato la wastani, kwa kila mtu, mkoa A wenye watu wachache na pato dogo ukauzidi mkoa B wenye watu wengi na pato kubwa katika hesabu za pato la wastani.

Kwa hiyo, hapa hesabu za per capita income zina maana zaidi ya hizi namba za jumla.
 
Back
Top Bottom