Hii ndio njia iliyobaki kujikwamua na umasikini kwa sisi watoto wa kimasikini



kama iliwai kutokea basi asante kwa inpired post nakuonesha kwamba inawezekana kwa kutuonesha mfano, hii inaonesha kwamba hili wazo sio imagination tu, kwa wataalamu hapo wanaangalia kwa jambo liliwezekana ila huwo utapeli ni weakness za mtu.
 
2.mimi pia

pamoja mkuu japo nili propose kama mada tu, unaonaje kukawa na group la whatsapp kila antakeyekuwa tayari kwenye movement hii afanye kujoin kwasabu kujoin na kudiscuss masuala yenye tija kamahaya ni kitu kizuri hata kama haitafanikiwa ila kwa kuwa na group la la whats app hii itaonesha usiriasi na mkubwa na kupeleka idea mzima kwenye vitendo
 
Mkuu msome pale juu mdau anajiita @kirikouwakwanza,sio lazima muwe kikundi pia sio lazima partner wako atoke mitandaoni naamini hapo wewe unao marafiki sasa inatakiwa ktk hao hao marafiki zako umchomoe mmoja ambae unaona yuko focused kwenye maisha muunganishe nguvu.

Hapa pana points nzuri sana kama mtu akazichukua na akazitumia inavyotakikana.
 
Mkuu umenena sawia kabisa, tatizo sio kuungana tatizo lipo kwenye uaminifu wabongo wanapenda utapeli kuliko kula. Bora niwekeze kivyangu ntakapofikia basi nimushukuru mwenyez mungu. Wabongo nomaa sana kweny hela.
Jana Nikiwa natoka bagomoyo, tuluanzisha hii mada ya uaminifu na mama mmoja muuza samaki anakaa bunju. Kwa kweli mama kalalamika sana wabongo ni waharibifu balaa
1. Ukimweka shambani anakula chakula afu anaenda kulima kwingine
2. Ukimweka dukani ananunua mzigo wake anauza eg sukari stock yako utaikuta IPO poa
3.ukimweka mashineni ananunua mafuta/ luku anasaga yeye
4. Mtunza hazina naye kwenye kikundi haishi kujikopesha
5.ukimpa MTU hela ya biashara anaila ovyo bila at taarifa anasingizia shida
Waafrika/wabongo tunasafari ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli.
 
Nimekupata sana kiongozi.

Kweli kwenye umoja pana mafanikio ikiwa kama kuna nia ya dhati kwa kila mmoja.

Mwamko umeshapatikana sasa ni muda wa kufanyia kazi wazo na hata kama linahitaji maboresho tutafanya on the processes.
 
haha nyie watu munajihesabu tu nimekupeni njia ya kuwa pamoja hapo juu amuioni
 
Mazee mbona sioni mwendelezo wowote wa hii mada?

Msiniambie huu nao ulikuwa ni Uzi wa stori tu kama zingine
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…