Hii ndio njia mpya ya Ruge mtahaba Kupambana na WCB

Mrzohan

New Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Mwana falsafa na mfanya biashara mkubwa Dunia PORTER aliwahi kusema moja ya njia ambayo unaweza kumuua mshindani wako kwa urahisi ni kutengeneza ushirika na mshindani wako....Hii husaidia katika kujua mapungufu ya mshindani wako ikiwa ni pamoja na kujua ni wapi ameegemea

Wakati wakoloni wanakuja barani afrika hawakufika moja kwa moja na kutawala bali walijenga urafiki wa kinafiki na viongozi wa kiafrika ambapo ilipelekea hata wafuasi wa viongozi wa afrika kuweza kupunguza hasira za kuwaona labda wazungu ni wabaya

Lakini baadae wazungu walikuja kuwageuka baada ya kuwa wamesha jua madhaifu yao yapo wapi .

Lengo hasa la kujenga urafiki ilikuwa ni kujenga imani ya kuwa wao ni wazuri hali yakuwa moyoni wanalo jambo lao

Hii ndio mbinu ambayo anaitumia Ruge mtahaba katika kupambana na WCB wasafi

Picha hapo chini inaonesha Joseph kusaga Diamond Platnumz na Babu Tale walipo.kuwa katika Yatchy party iliyo fanyika katika birthday part ya Diamond

Unaweza Dhani ati huu ni urafiki lakini hii ni njia ya kupunguza hasira za mashabiki wa WCB kwa kuonesha kuwa hawana ugomvi

Kupitia picha watu wengi walifurahi kuwaona pamoja lakini wakasahau kujiuliza kwann sasa nyimbo za WCB hazipigwi clouds?

Unagundua hii ni njia tu ya kuwaaminisha watu na kutuliza hasira za kuona msani ambaye inaiwakilisha vyema nchi ya Tz lakini anapigwa vita na kupigania kumshusha mtu ambaye hadi sasa watu 1000 wanatabasamu la matibabu ya bure

Ushauri:
Diamond usikubali kutumiwa kinafiki na hawa watu...sisi tuna support yeyote mwenye nia njema na tanzania yetu sio mwenye nia ya kuturudisha nyuma

babutale-20181025-0001.jpeg
 
Joseph Kusaga Ni Mmiliki wa Clouds media Na Wasafi TV Kwa hiyo ukiwa team Wasafi Au team Clouds Kote Ni mteja wake

Kuna kipindi Fulani nilikuwa Na pharmacy mbili pale Mwanayamala Hospital Kwa wakati mmoja

Mteja akija anaponda pharmacy Moja anaenda pharmacy nyingine anajisifia Eti 'ile ya kwenye Kona ina dawa nzuri Hawa wa Hapa Ni Wazushi'
 
Hhhhhhhh afisa utaniua
 
Mkuu nimecheka Sana
Joseph Kusaga Ni Mmiliki wa Clouds media Na Wasafi TV Kwa hiyo ukiwa team Wasafi Au team Clouds Kote Ni mteja wake

Kuna kipindi Fulani nilikuwa Na pharmacy mbili pale Mwanayamala Hospital Kwa wakati mmoja

Mteja akija anaponda pharmacy Moja anaenda pharmacy nyingine anajisifia Eti 'ile ya kwenye Kona ina dawa nzuri Hawa wa Hapa Ni Wazushi'
 
Jamani mleta mada wala sio kosa lake kwa sababu ni kuku mgeni huwa hakosi kamba mguuni.

Kwani hamuoni kamba inaning'inia mguuni aisee...?
 
Joseph Kusaga Ni Mmiliki wa Clouds media Na Wasafi TV Kwa hiyo ukiwa team Wasafi Au team Clouds Kote Ni mteja wake

Kuna kipindi Fulani nilikuwa Na pharmacy mbili pale Mwanayamala Hospital Kwa wakati mmoja

Mteja akija anaponda pharmacy Moja anaenda pharmacy nyingine anajisifia Eti 'ile ya kwenye Kona ina dawa nzuri Hawa wa Hapa Ni Wazushi'
Naomba kazi mkuu kwenye moja wapo.
 
Una lolote la kutuambia kuhusu hii siredi?
[emoji41]ndio cha kwanza sio kweli.....bifu la ruge na wasanii na ruge na WCB hayahusiani kabisa na J.kusaga ...na kwa taarifa za chin chini ni kua J.kusaga na ruge awa elewani sana kipindi ichi[emoji41][emoji41]ni hayo tu
 
Mambo ya yachi pati yalishapita kitambo wewe ndo unaleta uchambuzi leo. Au ulikuwa mahabusu mkuu😃😃😃😃
 
Mwana falsafa na mfanya biashara mkubwa Dunia PORTER aliwahi kusema moja ya njia ambayo unaweza kumuua mshindani wako kwa urahisi ni kutengeneza ushirika na mshindani wako....Hii husaidia katika kujua mapungufu ya mshindani wako ikiwa ni pamoja na kujua ni wapi ameegemea

Wakati wakoloni wanakuja barani afrika hawakufika moja kwa moja na kutawala bali walijenga urafiki wa kinafiki na viongozi wa kiafrika ambapo ilipelekea hata wafuasi wa viongozi wa afrika kuweza kupunguza hasira za kuwaona labda wazungu ni wabaya

Lakini baadae wazungu walikuja kuwageuka baada ya kuwa wamesha jua madhaifu yao yapo wapi .

Lengo hasa la kujenga urafiki ilikuwa ni kujenga imani ya kuwa wao ni wazuri hali yakuwa moyoni wanalo jambo lao

Hii ndio mbinu ambayo anaitumia Ruge mtahaba katika kupambana na WCB wasafi

Picha hapo chini inaonesha Joseph kusaga Diamond Platnumz na Babu Tale walipo.kuwa katika Yatchy party iliyo fanyika katika birthday part ya Diamond

Unaweza Dhani ati huu ni urafiki lakini hii ni njia ya kupunguza hasira za mashabiki wa WCB kwa kuonesha kuwa hawana ugomvi

Kupitia picha watu wengi walifurahi kuwaona pamoja lakini wakasahau kujiuliza kwann sasa nyimbo za WCB hazipigwi clouds?

Unagundua hii ni njia tu ya kuwaaminisha watu na kutuliza hasira za kuona msani ambaye inaiwakilisha vyema nchi ya Tz lakini anapigwa vita na kupigania kumshusha mtu ambaye hadi sasa watu 1000 wanatabasamu la matibabu ya bure

Ushauri:
Diamond usikubali kutumiwa kinafiki na hawa watu...sisi tuna support yeyote mwenye nia njema na tanzania yetu sio mwenye nia ya kuturudisha nyuma

View attachment 911085
Diamond na Kusaga ni business partners, Kusaga na Mhindi flani ndiyo wamiliki wa Diamond Karanga, pia hata diamond perfume ya kusaga, hivyo huenda hata wasafi Tv na radio kusaga ana percent kwa hiyo kuanguka kwa Diamond ni hasara kwa kusaga.
Kitu ambacho ninamkubari Kusaga ni kwamba inaelekea haingilii utendaji kazi wa clouds media management wakisema wanakupiga chini yeye kama boss haingilii. it is strictly business.
 
Mwana falsafa na mfanya biashara mkubwa Dunia PORTER aliwahi kusema moja ya njia ambayo unaweza kumuua mshindani wako kwa urahisi ni kutengeneza ushirika na mshindani wako....Hii husaidia katika kujua mapungufu ya mshindani wako ikiwa ni pamoja na kujua ni wapi ameegemea

Wakati wakoloni wanakuja barani afrika hawakufika moja kwa moja na kutawala bali walijenga urafiki wa kinafiki na viongozi wa kiafrika ambapo ilipelekea hata wafuasi wa viongozi wa afrika kuweza kupunguza hasira za kuwaona labda wazungu ni wabaya

Lakini baadae wazungu walikuja kuwageuka baada ya kuwa wamesha jua madhaifu yao yapo wapi .

Lengo hasa la kujenga urafiki ilikuwa ni kujenga imani ya kuwa wao ni wazuri hali yakuwa moyoni wanalo jambo lao

Hii ndio mbinu ambayo anaitumia Ruge mtahaba katika kupambana na WCB wasafi

Picha hapo chini inaonesha Joseph kusaga Diamond Platnumz na Babu Tale walipo.kuwa katika Yatchy party iliyo fanyika katika birthday part ya Diamond

Unaweza Dhani ati huu ni urafiki lakini hii ni njia ya kupunguza hasira za mashabiki wa WCB kwa kuonesha kuwa hawana ugomvi

Kupitia picha watu wengi walifurahi kuwaona pamoja lakini wakasahau kujiuliza kwann sasa nyimbo za WCB hazipigwi clouds?

Unagundua hii ni njia tu ya kuwaaminisha watu na kutuliza hasira za kuona msani ambaye inaiwakilisha vyema nchi ya Tz lakini anapigwa vita na kupigania kumshusha mtu ambaye hadi sasa watu 1000 wanatabasamu la matibabu ya bure

Ushauri:
Diamond usikubali kutumiwa kinafiki na hawa watu...sisi tuna support yeyote mwenye nia njema na tanzania yetu sio mwenye nia ya kuturudisha nyuma

View attachment 911085

' Matege ' ya Joseph Kusaga yanaonyesha kwamba enzi zake alikuwa Mchezaji Mpira mzuri sana tena Winga au Beki.
 
kaka jambo ambalo haulijui ni kwamba clouds ni ya baba yake joe kusaga yaani ni kituo cha familia ya kusaga and wasafi tv,wasafi fm chibu perfume ni za joe kusaga diamond karanga ni mali ya joe kusaga kwa 90% kaka haya mambo sio huku tuu hata ulaya ndio ilivyo mabosi wana pesa wewe una fame so mnafanya kazi mfano mzuri beat by dre watu wengi walikuwa wanajua ni mali ya dr dre but jimmy lovine ndiye alikuwa ana hisa kubwa imagine beats by dre imeuzwa apple 5 billion usd and dr dre amepata 259 million dr dre nadhani utakuwa umepata jibu
 
Back
Top Bottom