Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nmeangalia hali ya usafiri ulivyo kafili Dar es salaam nmesikitika sana. Mfano leo nmeona kabisa daladala imejaa mpaka konda ikabidi apande ya nyuma yake maana alikosa pa kusimama kabisa.
Nashauri: Asubuhi vaa traki suti au kaptula. Amka mapema anza kufanya jogging toka unapokaa kwenda kazini, mgongoni uwe na bag la nguo za kubadilisha ukifika job. Huu ni ufumbuzi mmoja wapo.
Tutumieni baiskeli ndugu zanguni.mdogo mdogo unanyonga mountain bike/sports bike yako mpaka town.Huna tatizo la folen wala nini.
Jioni mnajiorganize mnafanya matembezi ya mshikamano from town mpaka home.
Uzi umekamilika.