Hii ndio orodha ya majina ya waliokuwa wanachama wa CHADEMA ambao sababu ya kuondoka kwao walimtaja Freeman Mbowe, Je tumtarajie nani wa 71?

Hii ndio orodha ya majina ya waliokuwa wanachama wa CHADEMA ambao sababu ya kuondoka kwao walimtaja Freeman Mbowe, Je tumtarajie nani wa 71?

Halima Mdee hajaondoka chadema. Acha kughushi orodha. Na mbowe hawezi kuwa sababu ya yeye kuondoka kwa sababu ile orodha ya wabunge ilibarikiwa na mbowe!
 
Freeman Mbowe ana anger management problems.
Haya leo alipokuwa anaongea inaonekana kwamba ana anger issue.
Isipokuwa leo alikuwa katika rare moment of lucidity.
Both sides wanasema watakampeni kistaarabu lakini hawatakibali kutukanwa.
Sasa how do you decide kama mtu ametukanwa?
 
Watanzania walio wengi wanapenda kuona Demokrasia ila hawataki kufanya Demokrasia.
Fikiria Lissu angebaki mgombea pekee kwenye kiti cha Mwenyekiti ingejengeka nadharia kuwa uenyekiti Chadema inaridhiwa.
Cha kushangaza leo tena watu wanalalamika Ndugu Mbowe kugombea uenyekiti.
 
HAWA WOTE WALIONDOKA CHADEMA KWA SABABU YA MBOWE

  • Prof. Safari
  • Dr. Wilbroad Slaa
  • Dr. Vicent Mashinji
  • Zitto Zuberi Kabwe
  • Edward Lowassa
  • Fredrik Sumaye
  • Said Arfi
  • Magdalena Sakaya
  • Patrobas Katambi
  • Cecil Mwambe
  • Juliana Shonza
  • Ernest Silinde
  • Paulina Gekulu
  • Tumaini Makene
  • Lawrence Marsha
  • Lazaro Nyalandu
  • Kitila Mkumbo
  • Samson Mwigamba
  • Said Kubenea
  • Antony Komu
  • Joseph Selasini
  • Karist Lazaro
  • Joshua Nasari
  • Upendo Peneza
  • Peter Msigwa
  • Edward Simbeye
  • Daddy Igogo
  • Dr. Molleli
  • Akwillombe
  • Warid Kabulu
  • Lijualikali
  • David Kafulila
  • Alatanga Nyagawa
  • Edwin Swale
  • Fakii Lulandala
  • Moses Machali
  • Jesca Kishoa
  • Halima Mdee
  • Ester Bulaya
  • Grace Tendega
  • Ester Matiko
  • Benson Mramba
  • Hawa Mwaifunga
  • Cecilia Pareso
  • Sophia Mwakagenda
  • Agnesta Lambert
  • Nusrat Hanz
  • Tunza Malapo
  • Asia Mohammed
  • Felister Njau
  • Naghenjwa Kaboyoka
  • Kunti Majala
  • Stella Filao
  • Anatropia Theonest
  • Salome Makamba
  • Conchesta Rwamlaza
  • Ally Bananga
  • Boniface Mwabukusi
  • Isaya Mwita Lyat
  • Joseph Lyata
  • Chiku Abwao
  • David Mwashilindi
  • Wilfred Muganyizi Lwakatare
  • Renatus Nzemo
  • Frank Kubwera
  • Vicent Madata
  • Yunis Kanumba
  • Oscar Kaijage
  • Isaya Buhuhiye
Je, tumtarajie nani katika orodha hii?
Saed kubenea vipi hayumo kwenye list ya chama chenu cha chadema
 
Wengine kwa maelfu wataondoka baada ya huyo Museven wa machame atakapoiba kura za uchaguzi wa uenyekiti. CHADEMA watabaki familia ya Mbowe, Chawa wa Mbowe, COVID-19 na mambumbu wachache.
Sahihi kabisa
 
HAWA WOTE WALIONDOKA CHADEMA KWA SABABU YA MBOWE WAKATI BAADHI WAMEAHIDI KUREJEA CHADEMA KAMA MBOWE ATAFURUSHWA KWA KURA.

  • Prof. Safari
  • Dr. Wilbroad Slaa
  • Dr. Vicent Mashinji
  • Zitto Zuberi Kabwe
  • Edward Lowassa
  • Fredrik Sumaye
  • Said Arfi
  • Magdalena Sakaya
  • Patrobas Katambi
  • Cecil Mwambe
  • Juliana Shonza
  • Ernest Silinde
  • Paulina Gekulu
  • Tumaini Makene
  • Lawrence Marsha
  • Lazaro Nyalandu
  • Kitila Mkumbo
  • Samson Mwigamba
  • Said Kubenea
  • Antony Komu
  • Joseph Selasini
  • Karist Lazaro
  • Joshua Nasari
  • Upendo Peneza
  • Peter Msigwa
  • Edward Simbeye
  • Daddy Igogo
  • Dr. Molleli
  • Akwillombe
  • Warid Kabulu
  • Lijualikali
  • David Kafulila
  • Alatanga Nyagawa
  • Edwin Swale
  • Fakii Lulandala
  • Moses Machali
  • Jesca Kishoa
  • Halima Mdee
  • Ester Bulaya
  • Grace Tendega
  • Ester Matiko
  • Benson Mramba
  • Hawa Mwaifunga
  • Cecilia Pareso
  • Sophia Mwakagenda
  • Agnesta Lambert
  • Nusrat Hanz
  • Tunza Malapo
  • Asia Mohammed
  • Felister Njau
  • Naghenjwa Kaboyoka
  • Kunti Majala
  • Stella Filao
  • Anatropia Theonest
  • Salome Makamba
  • Conchesta Rwamlaza
  • Ally Bananga
  • Boniface Mwabukusi
  • Isaya Mwita Lyat
  • Joseph Lyata
  • Chiku Abwao
  • David Mwashilindi
  • Wilfred Muganyizi Lwakatare
  • Renatus Nzemo
  • Frank Kubwera
  • Bernard Madata
  • Yunis Kanumba
  • Oscar Kaijage
  • Isaya Buhuhiye
  • Saed Kubenea
Je, tumtarajie nani katika orodha hii?
MBOWE Mbowe
 
Back
Top Bottom