Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
- Thread starter
-
- #321
Imepungua kwenye mapato ya TRA lakini haya ya Halmashauri hayana impacts ni nyie tuu kukaza.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] imepungua kiaina, sio kushuka kabisa. Tunduma ni mji wenye amsha amsha sana za kibiashara, unabeiba mkoa wa Songwe
Karatu mmeisahau ndo ndo chokest imagine ina hotel za kitalii53 kuanzia nyota 3 hadi5 ahilia mbali guest houses trade center ya wilaya 3 wanalima.vitunguu mahindi mbaaizi na wamerudi c cmBagamoyo imekuwaje tena? Hakuna mkwanja kivipi yaani?
1. Utalii
2. Uvuvi/Samaki
3. Kilimo
4. Viwanda
5. Ukaribu na Dar es salaam
6. Hoteli
7. Heritage site(s) - UNICEF
What is not happening???
Kama we huna haimaniishi wote hamna,i'la in picha halisi ya uchakarikaji ktk wilaya yako,wakati ww unaswma huna hela wenzio Kama wewe wanachakarika wanalipa mapato ya halmashauriSasa mkuu umeweka halmashauri yangu akati nikijicheki mfukoni kuna masalia ya maganda ya karanga tu?[emoji16] halmashauri nyingi znabebwa na uwepo wa natajiri wakubwa tu, unaweza kukuta hiyo kodi ni ya watu wachache sana.
Naam Kilolo ni kuzuri sana lakini sijaiweka hapa kwasababu toka Mzee Kikwete aondoke mji ule umesimama kukua. Tofauti na Mufindi, Kilolo hapaendeki kwa urahisi kwasababu hakuna miundombinu mizuri kuwezesha mtu wa kawaida kufika kwa urahisi. Mwezi huu nimeshinda huko, nakuambia na mvua hii hapafikiki kwa urahisi.Naona mnakomaa tuu na Mufindi mnasahau Kilolo huko inakopakana na Mkoa wa Morogoro nako mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hali ya hewa ni nzuri,udongo fertile na mvua za kuzidi.
Njombe nako hususani Wilaya ya Njombe na Makete,tatizo ilikuwa ni barabara but kwa ujenzi unaoendelea pande zote yaani njia ya Mbeya na njia ya Morogoro inafungua fursa Sana na mambo ni fire [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Eti wamerudi ccm,[emoji28][emoji28][emoji28]check kwenye pdf hapo utaona status yakeKaratu mmeisahau ndo ndo chokest imagine ina hotel za kitalii53 kuanzia nyota 3 hadi5 ahilia mbali guest houses trade center ya wilaya 3 wanalima.vitunguu mahindi mbaaizi na wamerudi c cm
Tatizo kubwa kule ni Miundombinu yaani Serikali iangalie hili japo tupate barabara ya uhakika kutoka Iringa hadi Mlimba na Ifakara hukoNaam Kilolo ni kuzuri sana lakini sijaiweka hapa kwasababu toka Mzee Kikwete aondoke mji ule umesimama kukua. Tofauti na Mufindi, Kilolo hapaendeki kwa urahisi kwasababu hakuna miundombinu mizuri kuwezesha mtu wa kawaida kufika kwa urahisi. Mwezi huu nimeshinda huko, nakuambia na mvua hii hapafikiki kwa urahisi.
Lakini kama una usafiri wako binafsi Kilolo ni sehemu nzuri sana, kuna kipindi mimi nimeishi Dabaga. Nilitembea hadi kufika sehemu za Itonya ndani huko, kuna rutuba nzuri hatari. Japo nyumba moja iko hapa na nyingine iko kulee, na ufikaji wake siyo rahisi.
Yaaah ni kweli kabsa mkuuNa hapo wameimega wakazalisha Busokelo DC
Hahahah Aameeen. We are coming there usijali kabisaaa.. napendaga uwekezaji wa long term investment.Eeh bwana, kama saa hizi hakufai kabisa, kuna baridi na mvua za ajabu ajabu tu japo ndiyo zinaishia. Ila yote tisa kama unataka kuwekeza kwa muda mrefu, Mufindi is the best place. Ardhi inapatikana kirahisi kwa gharama nzuri. Vibarua wapo wa kutosha tena waaminifu sana: Zao ambalo linalipa kwa muda mrefu kama una mtaji wa kutosha ni miti na parachichi.
Ukipanda parachichi ukanda huu, huwa zinazaa kipindi cha tofauti na sehemu nyingine, hivyo wakati hayapatikana kwa urahisi sehemu nyingine huku ndiyo yanaanza kutoka. Karibu sana Mkuu, naamini mambo yatakaa poa tu, Mama kasema atakuwa hatunyang'anyi pesa zetu na kutubambikizia kodi kama Marehemu alivyokuwa anafanya.
PEACE OUT [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577]
Check out ur pmEeh bwana, kama saa hizi hakufai kabisa, kuna baridi na mvua za ajabu ajabu tu japo ndiyo zinaishia. Ila yote tisa kama unataka kuwekeza kwa muda mrefu, Mufindi is the best place. Ardhi inapatikana kirahisi kwa gharama nzuri. Vibarua wapo wa kutosha tena waaminifu sana: Zao ambalo linalipa kwa muda mrefu kama una mtaji wa kutosha ni miti na parachichi.
Ukipanda parachichi ukanda huu, huwa zinazaa kipindi cha tofauti na sehemu nyingine, hivyo wakati hayapatikana kwa urahisi sehemu nyingine huku ndiyo yanaanza kutoka. Karibu sana Mkuu, naamini mambo yatakaa poa tu, Mama kasema atakuwa hatunyang'anyi pesa zetu na kutubambikizia kodi kama Marehemu alivyokuwa anafanya.
PEACE OUT [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577]
Njombe wameigawa hovyo hovyo kieneo Halmashauri za Wilaya ya Njombe Vijijini,wangin'gombe na Makambako zina eneo dogo sana Kama Makambako wangekuwa na Njombe Vijijjini wangeingia.
Hata hao Njombe TC wameingia kwa kuwa wana eneo kubwa sana la kiutawala ambalo ni zaidi ya KM 100 kutoka mjini.
By the way Mkoa wenu wa Njombe bado unaongoza kwa kipato cha MTU Moja moja kwa Tanzania ukitoa Mkoa wa Dar es Salaam na Kilimanjaro.
Makambako ipo ndani ya Mufindi
Wana chuki na mkoa wetuSi mnasemaga tanga wavivu
Achana na huyo mbususu wa Makambako,ameaibika baada kuona Njombe TC iko na mipesa kama yote na kile kijiji chao cha maduka ya mitumba kinachuana na akina Igwechana hukosio kweli Njombe TC haina mpaka uliofika kilomita mia moja mkuu.sehemu ya mbali sana ni kilomita 60+ kutoka Centre.
Sio kweli....Makambako ni TC ndani ya wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe.
Mbona kama chato sijaona au ni macho yangu tu.Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5 kwenda juu.
Orodha hii imetokana na makusanyo ya ndani ya kila Halmashauri kiutoka kwenye vyanzo vya mapato vya Halmashauri ambavyo ni shughuli za kawaida za wananchi kutoka Tamisemi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mapato hayo ni nje ya vyanzo vinavyokusanywa na TRA na wakala zingine za.serikali.
Kama wewe ni mfanyabiashara hii itakuwa picha halisi ya uchaguzi wa sehemu ya kuwekeza.
1.Ilala MC=58.6bln
2.Dodoma CC=53.2bln
3.Kinondoni MC=44.5bln
4.Temeke MC=34.4bln
5.Arusha City=19.2bln
6.Ubungo MC=17.9bln
7.Mbeya City=13.0bln
8.Tanga City=12.8bln
9.Mwanza CC=12.2bln
10.DSM CC=11.4bln
11.Ilemela MC=10.2bln
12.Geita TC=9.2bln.
13.Morogoro MC=7.5bln
14.Kahama MC=7.12bln
15.Chalinze DC=7.1bln
16.Mkuranga DC=6.6bln
17.Kigamboni MC=6.4bln
18.Mufindi DC=6.1bln
19.Moshi MC=5.7bln
20.Iringa MC=5.62bln
21.Njombe TC=5.6bln
22.Tunduma TC=5.4bln
23.Tarime DC=5.2bln
24.Kilolo DC=5.0bln
25.Mtwara MC=4.8bln
26.Mafinga TC=4.7bln
27.Tunduru DC=4.7bln
28.Muleba DC=4.61bln
29.Kilwa DC=4.6bln
30.Geita DC=4.5bln
31.Arusha DC=4.01bln.
32.Mlimba DC=4.0bln
33.Mbozi DC=3.97bln
34.Tandahimba DC=3.92bln
35.Mbarali DC=3.9bln
36.Rungwe DC=3.89bln
37.Kilosa DC=3.8bln
37.Mbeya DC=3.8bln
38.Mbinga DC=3.65bln
39.Chato DC=3.64bln
40.Kibaha TC.3.62bln
41.Chunya DC=3.5bln
My take kuna Mikoa/Miji ni ya kuonea huruma mfano Tabora,Singida,Rukwa,Katavi,Kigoma,Simiyu na Manyara.Hii mikoa haina hata Halmashauri moja yenye mapato kwa kiwango cha kuanzia bilioni 3.5 au zaidi
Kiufupi inatoa picha ya hali mbaya ya umaskini wa kipato kwa wananchi wake.Hali kadharika Mikoa ya Dar, Mbeya,Geita na Iringa ina hali nzuri ya kimapato kwa watu wake.
Pdf ya Tamisemi hii hapa unaweza kujionea mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] eti imerudi ccm!!Karatu mmeisahau ndo ndo chokest imagine ina hotel za kitalii53 kuanzia nyota 3 hadi5 ahilia mbali guest houses trade center ya wilaya 3 wanalima.vitunguu mahindi mbaaizi na wamerudi c cm
Yan mtoa post handsome huwezi kuoacha makambako hata siku mojaLakini Makambako tunakosaje hapo?
Kwani unadhani hiyo list imepangwa kwa kuzingatia mahaba ya sehemu anakotokea mtu au?Yan mtoa post handsome huwezi kuoacha makambako hata siku moja
Ipo wilaya ya njombe ile ni halmashauri ya mji Kama njombeHapana Makambako ipo katika Wilaya mpya ya Wanging'ombe makao makuu yake yapo Igwachanya