Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] imepungua kiaina, sio kushuka kabisa. Tunduma ni mji wenye amsha amsha sana za kibiashara, unabeiba mkoa wa Songwe
Imepungua kwenye mapato ya TRA lakini haya ya Halmashauri hayana impacts ni nyie tuu kukaza.

Ndio maana serikali haipendi kutoa summary za mikoa bali Halmashauri husika kwa sababu kila Halmashauri unakusanya pesa yake na wanatumia wenyewe hakuna senti inatumika mkoani
 
Bagamoyo imekuwaje tena? Hakuna mkwanja kivipi yaani?
1. Utalii
2. Uvuvi/Samaki
3. Kilimo
4. Viwanda
5. Ukaribu na Dar es salaam
6. Hoteli
7. Heritage site(s) - UNICEF

What is not happening???
Karatu mmeisahau ndo ndo chokest imagine ina hotel za kitalii53 kuanzia nyota 3 hadi5 ahilia mbali guest houses trade center ya wilaya 3 wanalima.vitunguu mahindi mbaaizi na wamerudi c cm
 
Sasa mkuu umeweka halmashauri yangu akati nikijicheki mfukoni kuna masalia ya maganda ya karanga tu?[emoji16] halmashauri nyingi znabebwa na uwepo wa natajiri wakubwa tu, unaweza kukuta hiyo kodi ni ya watu wachache sana.
Kama we huna haimaniishi wote hamna,i'la in picha halisi ya uchakarikaji ktk wilaya yako,wakati ww unaswma huna hela wenzio Kama wewe wanachakarika wanalipa mapato ya halmashauri
 
Naona mnakomaa tuu na Mufindi mnasahau Kilolo huko inakopakana na Mkoa wa Morogoro nako mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hali ya hewa ni nzuri,udongo fertile na mvua za kuzidi.

Njombe nako hususani Wilaya ya Njombe na Makete,tatizo ilikuwa ni barabara but kwa ujenzi unaoendelea pande zote yaani njia ya Mbeya na njia ya Morogoro inafungua fursa Sana na mambo ni fire [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Naam Kilolo ni kuzuri sana lakini sijaiweka hapa kwasababu toka Mzee Kikwete aondoke mji ule umesimama kukua. Tofauti na Mufindi, Kilolo hapaendeki kwa urahisi kwasababu hakuna miundombinu mizuri kuwezesha mtu wa kawaida kufika kwa urahisi. Mwezi huu nimeshinda huko, nakuambia na mvua hii hapafikiki kwa urahisi.

Lakini kama una usafiri wako binafsi Kilolo ni sehemu nzuri sana, kuna kipindi mimi nimeishi Dabaga. Nilitembea hadi kufika sehemu za Itonya ndani huko, kuna rutuba nzuri hatari. Japo nyumba moja iko hapa na nyingine iko kulee, na ufikaji wake siyo rahisi.
 
Karatu mmeisahau ndo ndo chokest imagine ina hotel za kitalii53 kuanzia nyota 3 hadi5 ahilia mbali guest houses trade center ya wilaya 3 wanalima.vitunguu mahindi mbaaizi na wamerudi c cm
Eti wamerudi ccm,[emoji28][emoji28][emoji28]check kwenye pdf hapo utaona status yake
 
Naam Kilolo ni kuzuri sana lakini sijaiweka hapa kwasababu toka Mzee Kikwete aondoke mji ule umesimama kukua. Tofauti na Mufindi, Kilolo hapaendeki kwa urahisi kwasababu hakuna miundombinu mizuri kuwezesha mtu wa kawaida kufika kwa urahisi. Mwezi huu nimeshinda huko, nakuambia na mvua hii hapafikiki kwa urahisi.

Lakini kama una usafiri wako binafsi Kilolo ni sehemu nzuri sana, kuna kipindi mimi nimeishi Dabaga. Nilitembea hadi kufika sehemu za Itonya ndani huko, kuna rutuba nzuri hatari. Japo nyumba moja iko hapa na nyingine iko kulee, na ufikaji wake siyo rahisi.
Tatizo kubwa kule ni Miundombinu yaani Serikali iangalie hili japo tupate barabara ya uhakika kutoka Iringa hadi Mlimba na Ifakara huko

Wilaya iko na future kubwa na nzuri kiuchumi.

Unakujua hadi itonya kweli wewe baharia wa uchumi [emoji109][emoji109],nilifika kuona uwekezaji wa jamaa yangu yaani matunda ukilima kama tikiti linakuwa kubwa kama dumu la maji
 
Eeh bwana, kama saa hizi hakufai kabisa, kuna baridi na mvua za ajabu ajabu tu japo ndiyo zinaishia. Ila yote tisa kama unataka kuwekeza kwa muda mrefu, Mufindi is the best place. Ardhi inapatikana kirahisi kwa gharama nzuri. Vibarua wapo wa kutosha tena waaminifu sana: Zao ambalo linalipa kwa muda mrefu kama una mtaji wa kutosha ni miti na parachichi.

Ukipanda parachichi ukanda huu, huwa zinazaa kipindi cha tofauti na sehemu nyingine, hivyo wakati hayapatikana kwa urahisi sehemu nyingine huku ndiyo yanaanza kutoka. Karibu sana Mkuu, naamini mambo yatakaa poa tu, Mama kasema atakuwa hatunyang'anyi pesa zetu na kutubambikizia kodi kama Marehemu alivyokuwa anafanya.

PEACE OUT [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577]
Hahahah Aameeen. We are coming there usijali kabisaaa.. napendaga uwekezaji wa long term investment.
 
Eeh bwana, kama saa hizi hakufai kabisa, kuna baridi na mvua za ajabu ajabu tu japo ndiyo zinaishia. Ila yote tisa kama unataka kuwekeza kwa muda mrefu, Mufindi is the best place. Ardhi inapatikana kirahisi kwa gharama nzuri. Vibarua wapo wa kutosha tena waaminifu sana: Zao ambalo linalipa kwa muda mrefu kama una mtaji wa kutosha ni miti na parachichi.

Ukipanda parachichi ukanda huu, huwa zinazaa kipindi cha tofauti na sehemu nyingine, hivyo wakati hayapatikana kwa urahisi sehemu nyingine huku ndiyo yanaanza kutoka. Karibu sana Mkuu, naamini mambo yatakaa poa tu, Mama kasema atakuwa hatunyang'anyi pesa zetu na kutubambikizia kodi kama Marehemu alivyokuwa anafanya.

PEACE OUT [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577] [emoji3577]
Check out ur pm
 
sio kweli Njombe TC haina mpaka uliofika kilomita mia moja mkuu.sehemu ya mbali sana ni kilomita 60+ kutoka Centre.
Njombe wameigawa hovyo hovyo kieneo Halmashauri za Wilaya ya Njombe Vijijini,wangin'gombe na Makambako zina eneo dogo sana Kama Makambako wangekuwa na Njombe Vijijjini wangeingia.

Hata hao Njombe TC wameingia kwa kuwa wana eneo kubwa sana la kiutawala ambalo ni zaidi ya KM 100 kutoka mjini.

By the way Mkoa wenu wa Njombe bado unaongoza kwa kipato cha MTU Moja moja kwa Tanzania ukitoa Mkoa wa Dar es Salaam na Kilimanjaro.
 
sio kweli Njombe TC haina mpaka uliofika kilomita mia moja mkuu.sehemu ya mbali sana ni kilomita 60+ kutoka Centre.
Achana na huyo mbususu wa Makambako,ameaibika baada kuona Njombe TC iko na mipesa kama yote na kile kijiji chao cha maduka ya mitumba kinachuana na akina Igwechana huko
 
Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5 kwenda juu.

Orodha hii imetokana na makusanyo ya ndani ya kila Halmashauri kiutoka kwenye vyanzo vya mapato vya Halmashauri ambavyo ni shughuli za kawaida za wananchi kutoka Tamisemi kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mapato hayo ni nje ya vyanzo vinavyokusanywa na TRA na wakala zingine za.serikali.

Kama wewe ni mfanyabiashara hii itakuwa picha halisi ya uchaguzi wa sehemu ya kuwekeza.

1.Ilala MC=58.6bln

2.Dodoma CC=53.2bln

3.Kinondoni MC=44.5bln

4.Temeke MC=34.4bln

5.Arusha City=19.2bln

6.Ubungo MC=17.9bln

7.Mbeya City=13.0bln

8.Tanga City=12.8bln

9.Mwanza CC=12.2bln

10.DSM CC=11.4bln

11.Ilemela MC=10.2bln

12.Geita TC=9.2bln.

13.Morogoro MC=7.5bln

14.Kahama MC=7.12bln

15.Chalinze DC=7.1bln

16.Mkuranga DC=6.6bln

17.Kigamboni MC=6.4bln

18.Mufindi DC=6.1bln

19.Moshi MC=5.7bln

20.Iringa MC=5.62bln

21.Njombe TC=5.6bln

22.Tunduma TC=5.4bln

23.Tarime DC=5.2bln

24.Kilolo DC=5.0bln

25.Mtwara MC=4.8bln

26.Mafinga TC=4.7bln

27.Tunduru DC=4.7bln

28.Muleba DC=4.61bln

29.Kilwa DC=4.6bln

30.Geita DC=4.5bln

31.Arusha DC=4.01bln.

32.Mlimba DC=4.0bln

33.Mbozi DC=3.97bln

34.Tandahimba DC=3.92bln

35.Mbarali DC=3.9bln

36.Rungwe DC=3.89bln

37.Kilosa DC=3.8bln

37.Mbeya DC=3.8bln

38.Mbinga DC=3.65bln

39.Chato DC=3.64bln

40.Kibaha TC.3.62bln

41.Chunya DC=3.5bln

My take kuna Mikoa/Miji ni ya kuonea huruma mfano Tabora,Singida,Rukwa,Katavi,Kigoma,Simiyu na Manyara.Hii mikoa haina hata Halmashauri moja yenye mapato kwa kiwango cha kuanzia bilioni 3.5 au zaidi

Kiufupi inatoa picha ya hali mbaya ya umaskini wa kipato kwa wananchi wake.Hali kadharika Mikoa ya Dar, Mbeya,Geita na Iringa ina hali nzuri ya kimapato kwa watu wake.

Pdf ya Tamisemi hii hapa unaweza kujionea mwenyewe
Mbona kama chato sijaona au ni macho yangu tu.
 
Karatu mmeisahau ndo ndo chokest imagine ina hotel za kitalii53 kuanzia nyota 3 hadi5 ahilia mbali guest houses trade center ya wilaya 3 wanalima.vitunguu mahindi mbaaizi na wamerudi c cm
[emoji23][emoji23][emoji23] eti imerudi ccm!!

Karatu kwa ninavyo ifahamu haiwezi kurudi CCM, sema 'imerudishwa' kama maeneo mengine yalivyo fanyiwa kibabe na Meko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan mtoa post handsome huwezi kuoacha makambako hata siku moja
Kwani unadhani hiyo list imepangwa kwa kuzingatia mahaba ya sehemu anakotokea mtu au?

Unaweza anzisha yako ukaiweka hiyo Makambako yako ila kwa vigezo hivyo hapo juu vya mapato ya ndani kwa mujibu wa Tamisemi Makambako haimo.

Imagine Tabora MC,Singida MC,Bukoba MC,Musoma MC,Sumbawanga MC,Songea MC nk Manispaa zote hizo zimeshindwa kutokea kwenye list,Makambako ni kitu gani hadi ulie lie,hamna pesa nyie wauza mitumba
 
MApato ya serikali hayapimi unafuu wa maisha wa sehemu ww mbona ukiangalia mtu wa hali ya chini aliyepo makambako anamaisha mazuri kuliko njombe
 
Back
Top Bottom