Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
- Thread starter
-
- #381
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu, DABAGA vijiji vya Mawambala, Mgama, Ukumbi, Lupembe na Kitoho kumewaka moto mkali tangu mama afungulie milango, sasa hivi wadau wengi wanauza mazao na kufanya kilimo cha bondeni (Wanalima njegere, maharage na nyanya). Wahi fursa upate bustani mapema kabla wengi waoga-waoga hawajastuka. Wakenya na Waganda wanaanza kufurika huku kununua mazao. Utanishukuru Baadae.....
Hakuna lolote mikoa ya Njombe na Iringa ndio inaongoza kwa watoto wa kike kwenda Dar kama mahouse girl kutokana na ugumu wa maisha katika mikoa hiyo. Leo unajigamba eti hali ni nzuri. Ifike mahali tuache kulinganisha kanda ya ziwa na vikanda kama nyanda za juu kusini. Ala.Hayo mapato yanatoka wapi kama sio kwa shughuli za watu?
Huko kwenu sijui ila huku Njombe tunalima chai,miti na Mazao yake,matunda mbalimbali hasa parachichi,Mazao ya nafaka kama viazi,na sasa Vanilla.
Ndani ya miaka 3 , Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kilimo cha Vanilla maana kinalimwa kitaalamu kwenye greenhouses.
Kuhusu Migodi kwenye hiyo Halmashauri ni tatizo ambalo liko mikoa mingine hasa kanda ya ziwa , mapato mengi kutoka kampuni za Madini ambapo zina watu wachache Sana tofauti mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambako shughuli ni zile zinamnufaisha mtu moja kwa moja.
Hakuna Manispaa inayoitwa Nyamagana bali kuna Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza (Nyamagana ).Kua muelewa mwanza imegawanywa, kuna nyamagana manispaa ndio wanaita mwanza jiji halafu ilemela manispaa, mapato ya mwanza jiji hayajumuishi ilemela ndio maana ikawa hivyo, kwa dom kuizid arusha inawezekana punguza mahaba na arusha yako wapike data kwa kipi
Acha hadithi za Juma na Uledi mkuu,Maisha ya mwananchi wa Njombe ni mazuri kuliko wa huko Kagera.
Wahaya hawajengi uchumi wa kwao kama watu wa Njombe.Unless unataka ubishi nyuma ya Wachaga kuna Watu wa Njombe...wakinga na wabena.
Mwisho kilimo cha Njombe kinatumia skills zaidi maana watu wanalima kilimo biashara sio cha kujikimu.
Takwimu zote za serikali Kuhusu maendeleo zinaiweka Njombe top 5 ya maisha mazuri huku Kagera ikiwa top 5 bottom sawa na maskini wenzao huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti maisha ya mwananchi wa njombe yako juu ya watu wa bukoba!!!endelea kuamini takwimu zako [emoji23]Acha hadithi za Juma na Uledi mkuu,Maisha ya mwananchi wa Njombe ni mazuri kuliko wa huko Kagera.
Wahaya hawajengi uchumi wa kwao kama watu wa Njombe.Unless unataka ubishi nyuma ya Wachaga kuna Watu wa Njombe...wakinga na wabena.
Mwisho kilimo cha Njombe kinatumia skills zaidi maana watu wanalima kilimo biashara sio cha kujikimu.
Takwimu zote za serikali Kuhusu maendeleo zinaiweka Njombe top 5 ya maisha mazuri huku Kagera ikiwa top 5 bottom sawa na maskini wenzao huko.
Umenifurahisha eti wahaya hawajengi uchumi kwao? Endelea kuamini story za kusimuliwa.Acha hadithi za Juma na Uledi mkuu,Maisha ya mwananchi wa Njombe ni mazuri kuliko wa huko Kagera.
Wahaya hawajengi uchumi wa kwao kama watu wa Njombe.Unless unataka ubishi nyuma ya Wachaga kuna Watu wa Njombe...wakinga na wabena.
Mwisho kilimo cha Njombe kinatumia skills zaidi maana watu wanalima kilimo biashara sio cha kujikimu.
Takwimu zote za serikali Kuhusu maendeleo zinaiweka Njombe top 5 ya maisha mazuri huku Kagera ikiwa top 5 bottom sawa na maskini wenzao huko.
Huyu mjamaa analinganisha maisha ya muleba,misenyi na bukoba na njombe sidhani kama zinamtosha kichwani.Hakuna lolote mikoa ya Njombe na Iringa ndio inaongoza kwa watoto wa kike kwenda Dar kama mahouse girl kutokana na ugumu wa maisha katika mikoa hiyo. Leo unajigamba eti hali ni nzuri. Ifike mahali tuache kulinganisha kanda ya ziwa na vikanda kama nyanda za juu kusini. Ala.
Dodoma usiichukulie poa, kuna viwanda vingi sana vidogo vidogo vya mafuta ya Alizeti na Karanga.Dodoma Imeingiaje?
Hongera mkuu, wewe unaijui Iringa.Naam Kilolo ni kuzuri sana lakini sijaiweka hapa kwasababu toka Mzee Kikwete aondoke mji ule umesimama kukua. Tofauti na Mufindi, Kilolo hapaendeki kwa urahisi kwasababu hakuna miundombinu mizuri kuwezesha mtu wa kawaida kufika kwa urahisi. Mwezi huu nimeshinda huko, nakuambia na mvua hii hapafikiki kwa urahisi.
Lakini kama una usafiri wako binafsi Kilolo ni sehemu nzuri sana, kuna kipindi mimi nimeishi Dabaga. Nilitembea hadi kufika sehemu za Itonya ndani huko, kuna rutuba nzuri hatari. Japo nyumba moja iko hapa na nyingine iko kulee, na ufikaji wake siyo rahisi.
Usimshauri mgeni alime Mazao kama hayo kule ataumia, hayo wanayaweza wenyeji maana yanahitaji uangalizi muda wote,Mkuu, DABAGA vijiji vya Mawambala, Mgama, Ukumbi, Lupembe na Kitoho kumewaka moto mkali tangu mama afungulie milango, sasa hivi wadau wengi wanauza mazao na kufanya kilimo cha bondeni (Wanalima njegere, maharage na nyanya). Wahi fursa upate bustani mapema kabla wengi waoga-waoga hawajastuka. Wakenya na Waganda wanaanza kufurika huku kununua mazao. Utanishukuru Baadae.....
Kwani ni mashindano mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti maisha ya mwananchi wa njombe yako juu ya watu wa bukoba!!!endelea kuamini takwimu zako [emoji23]
Mzee ushawahi fika bukoba vijijini,misenyi, muleba na karagwe huko?
Jamaa unafurahisha Sana eti njombe.
Njombe naiona kama maisha ya biharamulo na ngara huko ila sio uhayan.
Endelea kuamini takwimu zako
Mkuu ni mipango tu, mimi nimefanya aina zote za kilimo ulizozitaja na mambo yako vizuri.Usimshauri mgeni alime Mazao kama hayo kule ataumia, hayo wanayaweza wenyeji maana yanahitaji uangalizi muda wote,
Aje Kilolo alime shamba la Miti ya Mbao au parachichi, anawezakuwa anatembelea once kila baada ya miezi mitatu na gharama za usimamizi ni ndogo, pia watu wa Kule (workforce) ni wachapakazi na waaminifu.
UbuyuBefore Serikali walikuwa wanakula nini?
Huyo jamaa anapendaga ligi na watu wa kanda ya ziwa Sana sijui anapachukuliajeKwani ni mashindano mkuu?
Usijitoe ufahamu sio tuu wanaongoza bali wanapendwa wao kwa ajili ni walezi wazuri na wachapa Kazi hodari.Hakuna lolote mikoa ya Njombe na Iringa ndio inaongoza kwa watoto wa kike kwenda Dar kama mahouse girl kutokana na ugumu wa maisha katika mikoa hiyo. Leo unajigamba eti hali ni nzuri. Ifike mahali tuache kulinganisha kanda ya ziwa na vikanda kama nyanda za juu kusini. Ala.
Sio mimi huwa napanga Takwimu bali ni NBS sasa labda hao ndio ukawatolee povu na hasira.Mhhh Njombe hakuna kitu. Endelea kuota ndoto za mchana.
Wewe hili povu kawatolee National Bureau of Statistics,sio mimi nilisema Kagera ni Kati ya mikoa maskini Sana hapa Tzn yaani mko top 5 ya maskini .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti maisha ya mwananchi wa njombe yako juu ya watu wa bukoba!!!endelea kuamini takwimu zako [emoji23]
Mzee ushawahi fika bukoba vijijini,misenyi, muleba na karagwe huko?
Jamaa unafurahisha Sana eti njombe.
Njombe naiona kama maisha ya biharamulo na ngara huko ila sio uhayan.
Endelea kuamini takwimu zako