Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

Mkuu, DABAGA vijiji vya Mawambala, Mgama, Ukumbi, Lupembe na Kitoho kumewaka moto mkali tangu mama afungulie milango, sasa hivi wadau wengi wanauza mazao na kufanya kilimo cha bondeni (Wanalima njegere, maharage na nyanya). Wahi fursa upate bustani mapema kabla wengi waoga-waoga hawajastuka. Wakenya na Waganda wanaanza kufurika huku kununua mazao. Utanishukuru Baadae.....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hayo mapato yanatoka wapi kama sio kwa shughuli za watu?

Huko kwenu sijui ila huku Njombe tunalima chai,miti na Mazao yake,matunda mbalimbali hasa parachichi,Mazao ya nafaka kama viazi,na sasa Vanilla.

Ndani ya miaka 3 , Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kilimo cha Vanilla maana kinalimwa kitaalamu kwenye greenhouses.

Kuhusu Migodi kwenye hiyo Halmashauri ni tatizo ambalo liko mikoa mingine hasa kanda ya ziwa , mapato mengi kutoka kampuni za Madini ambapo zina watu wachache Sana tofauti mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambako shughuli ni zile zinamnufaisha mtu moja kwa moja.
Hakuna lolote mikoa ya Njombe na Iringa ndio inaongoza kwa watoto wa kike kwenda Dar kama mahouse girl kutokana na ugumu wa maisha katika mikoa hiyo. Leo unajigamba eti hali ni nzuri. Ifike mahali tuache kulinganisha kanda ya ziwa na vikanda kama nyanda za juu kusini. Ala.
 
Kua muelewa mwanza imegawanywa, kuna nyamagana manispaa ndio wanaita mwanza jiji halafu ilemela manispaa, mapato ya mwanza jiji hayajumuishi ilemela ndio maana ikawa hivyo, kwa dom kuizid arusha inawezekana punguza mahaba na arusha yako wapike data kwa kipi
Hakuna Manispaa inayoitwa Nyamagana bali kuna Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza (Nyamagana ).
 
Mhhh Njombe hakuna kitu. Endelea kuota ndoto za mchana.
Acha hadithi za Juma na Uledi mkuu,Maisha ya mwananchi wa Njombe ni mazuri kuliko wa huko Kagera.

Wahaya hawajengi uchumi wa kwao kama watu wa Njombe.Unless unataka ubishi nyuma ya Wachaga kuna Watu wa Njombe...wakinga na wabena.

Mwisho kilimo cha Njombe kinatumia skills zaidi maana watu wanalima kilimo biashara sio cha kujikimu.

Takwimu zote za serikali Kuhusu maendeleo zinaiweka Njombe top 5 ya maisha mazuri huku Kagera ikiwa top 5 bottom sawa na maskini wenzao huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti maisha ya mwananchi wa njombe yako juu ya watu wa bukoba!!!endelea kuamini takwimu zako [emoji23]

Mzee ushawahi fika bukoba vijijini,misenyi, muleba na karagwe huko?

Jamaa unafurahisha Sana eti njombe.

Njombe naiona kama maisha ya biharamulo na ngara huko ila sio uhayan.

Endelea kuamini takwimu zako
 
Umenifurahisha eti wahaya hawajengi uchumi kwao? Endelea kuamini story za kusimuliwa.

Sidhani kama kuna kabila linapendana na kupenda kwao kama wahaya hapa bongo .halafu unavichekusho Sana eti nyumba ya wachaga mbona unawaabudu Sana hao wachaga ambao hata mkoa wao ni Sawa na wilaya moja Tu ya misenyi ?

Hiv njombe mko hata million nyie. Kwa hiyo hata mapato yenu yakigawiwa mmaonekana na per capita income kubwa kuliko kagera yenye 3m
 
Hakuna lolote mikoa ya Njombe na Iringa ndio inaongoza kwa watoto wa kike kwenda Dar kama mahouse girl kutokana na ugumu wa maisha katika mikoa hiyo. Leo unajigamba eti hali ni nzuri. Ifike mahali tuache kulinganisha kanda ya ziwa na vikanda kama nyanda za juu kusini. Ala.
Huyu mjamaa analinganisha maisha ya muleba,misenyi na bukoba na njombe sidhani kama zinamtosha kichwani.

Eti wabeba sijui wakinga[emoji23] hiv mtu na akili timamu unaweza ukalinganisha wahaya na vikabila vidogo vya huko kusini Kwa maendeleo binafsi na jumla?

Hiv huyu ashawahi fika vijijini bukoba huyu?
 
Naam Kilolo ni kuzuri sana lakini sijaiweka hapa kwasababu toka Mzee Kikwete aondoke mji ule umesimama kukua. Tofauti na Mufindi, Kilolo hapaendeki kwa urahisi kwasababu hakuna miundombinu mizuri kuwezesha mtu wa kawaida kufika kwa urahisi. Mwezi huu nimeshinda huko, nakuambia na mvua hii hapafikiki kwa urahisi.

Lakini kama una usafiri wako binafsi Kilolo ni sehemu nzuri sana, kuna kipindi mimi nimeishi Dabaga. Nilitembea hadi kufika sehemu za Itonya ndani huko, kuna rutuba nzuri hatari. Japo nyumba moja iko hapa na nyingine iko kulee, na ufikaji wake siyo rahisi.
Hongera mkuu, wewe unaijui Iringa.
 
Mkuu, DABAGA vijiji vya Mawambala, Mgama, Ukumbi, Lupembe na Kitoho kumewaka moto mkali tangu mama afungulie milango, sasa hivi wadau wengi wanauza mazao na kufanya kilimo cha bondeni (Wanalima njegere, maharage na nyanya). Wahi fursa upate bustani mapema kabla wengi waoga-waoga hawajastuka. Wakenya na Waganda wanaanza kufurika huku kununua mazao. Utanishukuru Baadae.....
Usimshauri mgeni alime Mazao kama hayo kule ataumia, hayo wanayaweza wenyeji maana yanahitaji uangalizi muda wote,
Aje Kilolo alime shamba la Miti ya Mbao au parachichi, anawezakuwa anatembelea once kila baada ya miezi mitatu na gharama za usimamizi ni ndogo, pia watu wa Kule (workforce) ni wachapakazi na waaminifu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti maisha ya mwananchi wa njombe yako juu ya watu wa bukoba!!!endelea kuamini takwimu zako [emoji23]

Mzee ushawahi fika bukoba vijijini,misenyi, muleba na karagwe huko?

Jamaa unafurahisha Sana eti njombe.

Njombe naiona kama maisha ya biharamulo na ngara huko ila sio uhayan.

Endelea kuamini takwimu zako
Kwani ni mashindano mkuu?
 
Mkuu ni mipango tu, mimi nimefanya aina zote za kilimo ulizozitaja na mambo yako vizuri.
Hiyo miti na maparachichi ataanza kuvuna lini ?Nina mwaka wa tano sijavuna miti ya mbao.
Huo ni uwekezaji wa muda mrefu sana na unakula pesa vibaya mno, yaani vibaya mnooo.

Tufike mahali tuache kuogopa , mtu aende mwenyewe akajioneee. Mbona hata sisi tulianza kama wegeni, lakini mambo yakawa mazuri tu mkuu. Unapofanya biashara lazima uweka mikakati na ukubaliane na suala zima la RISK.

Binafsi, kuliko kutokwenda nashauri aende, afanye utafiti binafsi na atoe maamuzi.
 
Hakuna lolote mikoa ya Njombe na Iringa ndio inaongoza kwa watoto wa kike kwenda Dar kama mahouse girl kutokana na ugumu wa maisha katika mikoa hiyo. Leo unajigamba eti hali ni nzuri. Ifike mahali tuache kulinganisha kanda ya ziwa na vikanda kama nyanda za juu kusini. Ala.
Usijitoe ufahamu sio tuu wanaongoza bali wanapendwa wao kwa ajili ni walezi wazuri na wachapa Kazi hodari.

Kila jamii kuna watu maskini lakini maskini wa huko kanda ya ziwa wamekithiri na ni useless kiasi kwamba hata Kazi kama hizo za malezi hawawezi.

Ukweli utabaki pale pale kwamba hali za maisha ya watu wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni bora mara elfu kuliko huko jangwani kwenu.

Najua wajua kwamba kwa jamii za kitanzania ukiacha Wachaga watu wengine wenye pesa ni kutoka Njombe sasa kama tumejenga miji ya watu na tunatambulika Tzn hii wewe ni nani hadi usitube heshima yetu?
 
Mhhh Njombe hakuna kitu. Endelea kuota ndoto za mchana.
Sio mimi huwa napanga Takwimu bali ni NBS sasa labda hao ndio ukawatolee povu na hasira.

Mkoa wa wachapakazi na Mji wa wastaarabu.Takwimu zinaongea wewe unaleta porojo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti maisha ya mwananchi wa njombe yako juu ya watu wa bukoba!!!endelea kuamini takwimu zako [emoji23]

Mzee ushawahi fika bukoba vijijini,misenyi, muleba na karagwe huko?

Jamaa unafurahisha Sana eti njombe.

Njombe naiona kama maisha ya biharamulo na ngara huko ila sio uhayan.

Endelea kuamini takwimu zako
Wewe hili povu kawatolee National Bureau of Statistics,sio mimi nilisema Kagera ni Kati ya mikoa maskini Sana hapa Tzn yaani mko top 5 ya maskini .

Kumbuka mjumbe hauwawi.Ni uzwazwa kukana credible sources huku ukitaka kutuaminisha feelings zako,hiyo haipo.

By the way wewe ni nani hadi ushindwe kutoa heshima kwa wachapa Kazi wa Mkoa wa Njombe ? Tunajulikana Tzn nzima kwamba nyuma ya Wachaga kuna Wakinga sijui wewe nshomile unataka kusemaje.

Tumejenga miji zaidi ya 10 Tzn hii,imagine hadi Mwenyekiti wa wachimbaji madini wadogo Tzn hii ni mwamba kutoka Njombe lakini kwetu hatuchombi dhahabu.

Unatujua au unasimuliwa mkuu.Nyie nshomile endeeni kuajiriwa na kujisifia kwa makaratasi tuu.
 
Back
Top Bottom