Habari wadau!
Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote.
1. Wajawazito
2. Vibonge
3. Wakimbiaji (joggers)
4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao
5. Walevi
6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa usiku
Malaria inaua chukua tahadhari.