Uchaguzi 2020 Hii ndio orodha ya watu watakaompigia kura Magufuli

Bigup Sana. Watanzania wanamwelewa Sana jembe lao. Kiu ya kila mtanzania ni kuona nchi hii inakuwa Heaven on earth, nchi ya mfano duniani. Viongozi wenye maono, uzalendo wa kweli kwa watanzania ni kutoka CCM pekee. Hao wengine, kila mtu analake moyoni, kila mtu ataka awe yeye. Wajiuze wenyewe kwa mabeberu aisee, sio mama Tanzania.
 
Ona hapa.
Amepora KOROSHO za watu huko kusini.
Hajapandisha mishahara kwa miaka yote mitano ya utawala wake.
Amepandisha makato ya Mikopo ya elimu ya juu toka 8% had 15. Ulisoma wapi mkopo ukiwa unaendlea kisha makato yanaongezwa?
Unawaza mishahara tu badala ujiajiri mshahara huwa hautoshi, Bodi ya mikopo inatakiwa ijiendeshe yenyewe, nani ataindesha sasa kwa hela ipi, wa korosho pesa zao walishalipwa
 
Tujaribuni na upinzan tuone wataleta nn,tukiona vp tunarud ccm[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...
Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.
A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.
Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
Kwenye lile kundi upo au haupo.
 
Unawaza mishahara tu badala ujiajiri mshahara huwa hautoshi, Bodi ya mikopo inatakiwa ijiendeshe yenyewe, nani ataindesha sasa kwa hela ipi, wa korosho pesa zao walishalipwa
Hakuna anayewaza kuajiriwa kama unavyofikiria wewe. Mm sijaajiriwa na serikali jua hilo lakini haina maana kwamba sina haki ya kuongelea wafanya kazi. Tuambie hawajaongezewa mshahara kwa sheria au kanuni IPi? Bodi ya mikopo ilikopesha watu kwa makubaliano ya kukata 8% kwann ipandishwe hadi kufika 15% huku watu wakiwa wanalipia tayar?
Kuhusu KOROSHO ni uongo kusema watu walishalipwa nenda kusini ukasikie. Na hata kama wamelipwa hawajalipwa kwa wakati jambo ambalo halikuwa haki wala ulazima isipokuwa kiburi cha watawala.
TAAFAKARI MAGUFULI HAFAI HATA KUWA DIWANI
 
Hapo namba 1 na watu wenye akili timamu na wewe umo!!! Kweli kua uyaone sasa nimeyaona!
 
Hapo namba 1 na watu wenye akili timamu na wewe umo!!! Kweli kua uyaone sasa nimeyaona!
Mimi ni Viva Magufuli, viva Magufuli. Sijaona Kiongozi kama Magufuli katika Tanzania hii. Uzuri mimi sio mvivu nafanya kazi. Hapa kazi tu. Kuwa yangu kwa Magufuli. Mchapa kazi
 
Ni kweli, kwenye kundi hilo huwezi kuwa maana bila shaka wewe ni team fokafoka. Wenye kuamini kuvuna, pasipo kupanda. Imekula kwenu.
Ndio Bora nusu Shari kuliko Shari kamili kama vipi we niweke kundi la vichaa tu
 
Miaka mitano ya majaribio imetosha bwashee.
Wote waliompigia kura mwaka 2015 wamebaki wametumbua macho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawajui wanaanzia wapi maana sio kwa hasira walizokua nazo.

Sema shukuruni tu Tume itamtangaza na ndiye atakayekuwa rasmi. La sivyo, watu wana hasira sana nyie hamjui tu
 
Ni watu wepi unao Wazungumzia.? watu wote nimesha wazungumzia tayari kwenye uzi. Kama ni walio na hasira ndio wale kwenye lile kundi la kwanza
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja (100%). Umechambua vizuri sana!
 
Kama Ulikiwa kwenye Akili Yangu Umewajua Vizuri kabisa Wanachama na Wapenzi Wa CCM has a Ilo LA kwanza.....WATU WENYE AKILI TIMAMU mengine yanatawaliwa na hilo
 
Umerudia rudia yale yale wewe mwenyewe soma mfano wanaopenda kufanya kazi kwa bidii umerudia karibu kila paragraph.

Hii mana yake hujitambui vizuri..Neno wanyonge sio sifa wala unyonge haupaswi kuendeleea kuwa sifa za kujivunia tuukatae unyonge tuwatoe hao tunaowaita wanyonge wawe kwenye kundi la watu wanajiweza sio kila siku wanyonge na hivyo unyonge utakaa nao kweli....
 
Maadui wa maendeleo ni wanne yaani Ujinga, maradhi, umasikini na uchawi. Nadhani watakaompigia kura Magu watakuwa kwenye kundi la wachawi
 
Ukipenda kwenye watakaompigia kura weka ambao hawatampigia kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…