Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi.

Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili nyuma ya pazia katikati ya hotuba hizo, Macho yetu yanazunguka utadhani ya kinyonga (Tuko kazini)

Huko Nyamongo tumekumbana na Picha bora ya Mwezi wa 9

Hii hapa.

Screenshot_2023-09-05-22-31-54-1.png
 
Back
Top Bottom