Hii Ndio Picha ya Diamond Iliyozua balaa Mtandaoni!

بمبتيﻻوفممبخهبتعقيغناخ
binamu hichi kihindi au kiarabu?
 
Hujabatika. Kukutokeya hukatai utaona kama pepi la mbinguni limefunguka ktk kwako chezeya diamond ww
 
Si kila mnacho ona Lil Wayne akifanya ni ya kuiga ukizingatia utamaduni wetu. Monkey see, monkey do. Nyani ni wale wale wa Tandale.
 

Hivi kwani condition mojawapo ya kua msanii Super star ni lazima kuvalia Suruali chini ya makalio????
 
Romy...OK..Romy na nasib ..ni ndugu Wa damu..mama Mdg na Mkubwa...pia Romy ndio Dj Wa nasib........ni hayo tu...

Mmh basi ingekuwa wasanii wote wanatembea na DJ zao sijui ingekuwaje, bado sijaona mantink wala hlo la udungu sio sababu ya kuongozana ovyo kama kumbi kumbi had wanaboa, labda kama wana mambo yao mengine nyuma ya pazia
 
Mi mwenyewe ndugu yangu Pnc lakin kutembea nae ndio maana siku anamuomba msamaha kwa ostadhi hamkuniona kwenye pichaaa
 
Shida ya hawa wasanii wavaa visuruali vya kubana na vyenye rangi rangi ......wako na under thinking
 
Wa hivyo si tutakua tunashinda kwenye kioo wotee maana kama wa kike kike hiv

Ukitokewa ma plutnum maneno yote yatakwisha muhulize irene uwoya alijisikiaje alipogegedwa na plutnum ije kuwa ww unaeshinda kwenye jf siutazimia ukifanikiwa
 
Ukitokewa ma plutnum maneno yote yatakwisha muhulize irene uwoya alijisikiaje alipogegedwa na plutnum ije kuwa ww unaeshinda kwenye jf siutazimia ukifanikiwa

Nishaonana na platnum hata sikua na mdaa namuona wa kawaida sanaa wala sio saizi yangu saizi yake wema na hao wenzie anaowapanga msururu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…