Hii ndio picha Yako rasmi, endelea kurinha, tunakucheka kwa dharau

Ndio uhalisia ulivyoo,unatakaa kuwa nyama na kugeuzwa udongo wenye rutubaa😀😀😀
 
Sasa cha ajabu hapo ni nini? Wakati ata uogope utakufa, usiogope utakufa. Cha muhimu kula maisha kufa kwaja.
Uwe na nidhamu ulapo maisha Yako, mwisho wako upon jirani sana.

Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz
 
Sasa cha ajabu hapo ni nini? Wakati ata uogope utakufa, usiogope utakufa. Cha muhimu kula maisha kufa kwaja.
huwa nashangaa akujadilinkitu ambacho hakijatutokea sisi na kikitokea ndo bas tena imm ot scared
 
Ukijua kwenye Foleni yako wamebaki wangapi kufikia wewe.
Ujinga wore mfukoni.
 
Rafiki yetu wa kweli ambaye hawezi kutuacha kamwe ni mmoja tu. Unamjua? Unataka kumjua? Si mwingine ni KIFO pekee.

Sio baba, mama, mke, mshikaji, mume, mchumba , swahiba au shoga yako ambaye ataweza kuwa na wewe hadi mwisho. Rafiki pekee wa ukweli ni kifo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…