Hii ndio pre season ya Azam Fc

Hii ndio pre season ya Azam Fc

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Pre season inaendelea huko nje ya nchi. Nitumieni picha za pre season za timu kama Madrid au Man city wakiwa hivi niwaonyeshe chips zenye ukoko.
116C418F-8718-48CE-AEF8-C5D8E094FC82.jpeg
C80E4989-3D2E-42E5-9F57-9795A5BA64BA.jpeg
69E32236-EE2C-40FA-B613-6997246DD239.jpeg
 
Wabongo tunaishi kimazoea, yan kwakua ni timu basi mazoezi unataka uone mipira kila muda. Kuna muza wa mazoezi ya kujenga mwili, kuna kujenga psychology, kuna mazoezi ya kuimarisha mifumo ambayo mwal atakua anaitumia kwa wachezaji. Yapo mambo mengi kwenye mpira kama hujacheza huwezi kuelewa ndio maana unawashangaa Azam hapo
 
Tuliocheza soka tunajua nini kinacho endelea katika hizo picha.

Mainly coach anatengeneza bond ya wachezaji kuzoeana na pia kujaribu kuwarudisha katika hali zao ambao wamepoteza fitness.
Hawana mapya. Wasindikizaji as usual
 
Wabongo tunaishi kimazoea, yan kwakua ni timu basi mazoezi unataka uone mipira kila muda. Kuna muza wa mazoezi ya kujenga mwili, kuna kujenga psychology, kuna mazoezi ya kuimarisha mifumo ambayo mwal atakua anaitumia kwa wachezaji. Yapo mambo mengi kwenye mpira kama hujacheza huwezi kuelewa ndio maana unawashangaa Azam hapo
Jamaa anadhan kazi ya mpira lelemama.
 
Back
Top Bottom