Hii ndio pre season ya Azam Fc

Wabongo tunaishi kimazoea, yan kwakua ni timu basi mazoezi unataka uone mipira kila muda. Kuna muza wa mazoezi ya kujenga mwili, kuna kujenga psychology, kuna mazoezi ya kuimarisha mifumo ambayo mwal atakua anaitumia kwa wachezaji. Yapo mambo mengi kwenye mpira kama hujacheza huwezi kuelewa ndio maana unawashangaa Azam hapo
 
Tuliocheza soka tunajua nini kinacho endelea katika hizo picha.

Mainly coach anatengeneza bond ya wachezaji kuzoeana na pia kujaribu kuwarudisha katika hali zao ambao wamepoteza fitness.
Hawana mapya. Wasindikizaji as usual
 
Jamaa anadhan kazi ya mpira lelemama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…