Hii ndio pre season ya Azam Fc

Tuliocheza soka tunajua nini kinacho endelea katika hizo picha.

Mainly coach anatengeneza bond ya wachezaji kuzoeana na pia kujaribu kuwarudisha katika hali zao ambao wamepoteza fitness.
....πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Hata sekondari sijui kama aligusa, Kuifananisha Azam na madrid ni ujuha.
 
Hata sekondari sijui kama aligusa, Kuifananisha Azam na madrid ni ujuha.
Wengi bado hawana elimu ya michezo. Watashangaa kumuona Mwakinyo au Dullah mbabe wanaogelea au kucheza mpira kwakua wao ni mabondia. Sometimes tunashauriwa kufanya kitu cha tofauti na kile ambacho umekua ukikifanya kila siku ili kuupunguzia mwili exostion na akili ku jam ndio maana mashuleni wanasisitiza sana michezo. Wabongo hatuelewi hilo
 
Punguza chuki kwa Fei uduguuu, utakufa huku moyo unatikisika lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala siyo chuki. Mazoezi ya aina ile kwa Fei Toto walikuwa wanamuonea.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…