Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Hii ndizo punje za Haradali.

Ukiwa na imani ndogo kama punje ya Haradali unaweza kuihamisha milima.

20220913_121347.jpg



Screenshot_20220913-121755.png
 
Hakuna kubwa kubwa au zinalingana by shape and size
 
Punje za haradani ni zile nafaka za Ukraine.

Ila Yesu nouma Yani sheeda. Wanatheolojia wanakuambia haitawahi na hakuna mahuburi ama nasaha kama ile ya Sermon on the mount.

Yesu pale alishusha nondo za hatariiii na kutema madini yaliyojitosheleza.
 
Back
Top Bottom