Hii ndio raha raha na faida ya kukaa bar counter

Hii ndio raha raha na faida ya kukaa bar counter

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Kwanza unaepuka inzi wale waomba bia maana wanaogopa wakuomba bia wapembeni wataona

Pili kwakua Upo peke yako basi counter anakupa kampeni kwa story ikiwa eneo uliopo halina watu wengi

Tatu na msingi totoz za maana ukaa counter

Haaaa haha haaa
 
Ila ile kusimama masaa matatu kaunta ni adhabu, lakini bado kaunta ni eneo muafaka
 
Kwanza unaepuka inzi wale waomba bia maana wanaogopa wakuomba bia wapembeni wataona

Pili kwakua Upo peke yako basi counter anakupa kampeni kwa story ikiwa eneo uliopo halina watu wengi

Tatu na msingi totoz za maana ukaa counter

Haaaa haha haaa

Hiyo kukaa counter peke yako nakataa, sema mtakuwa wengi ila amfahamiani maana huwa Kuna watu wengi zaidi ila counter Ni salama zaidi
 
Ukikaa kaunta unaona totoz zote zinazoingia na kutoka fursa ya kujichagulia kipusa
 
Wakaa counter karibu wote ni 'washikadau' wa mdada/wadada wa counter.
 
Faida nyingne unakuwa unaona vinywaji vyooooote mubasharaa....kisaikolojia unalewa kabla haujanywa
 
Faida za kunywea kaunta.
1. Rahisi kutengeneza marafiki wapya coz ya ile easy interaction na Wadau wa wengine wa kaunta.
2. Rahisi ku - dictate baadhi ya mambo kama sauti ya mziki/nyimbo/channel ya tv.
3. Kuisoma kwa urahisi audience I. E anayeingia na kutoka.
4. Kwa wakware ni centre nzuri ya kupoint mabar maid/wanaojiuza kwani wengi wanafika kaunta.
5. Rahisi kukopesheka kutoka na na rapport unayo jenga na muhudumu wa kaunta.
6. Kwa wapenda sifa ni sehemu Rahisi kuonyesha matumizi yao.
 
Kumbukeni tu kwamba hata wale wazee wa kazi wakivamia wanaanzaga na counter kwenye mzigo wa uhakika so wale wote wanaokutwa eneo hilo Mara nyingi hudunguliwa risasi.
 
Back
Top Bottom