Hii ndio sababu CAF walitenganisha Kombe la Mabingwa na lile la 'loosers'

Hii ndio sababu CAF walitenganisha Kombe la Mabingwa na lile la 'loosers'

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Sasa kwa akili yenu Yanga mlitegemea mshinde game hii kwa kigezo cha kuongoza kile kigroup chenu cha wakongwe kina Mukoko Tonombe?

Hii ndo maana kwamba Simba, Wanalunyas, Taifa kubwa, Mwana kulitaka mwana kulipewa, Wazee wa Kidedea, Mnyama Mkali, Samba Loketo, Wazee 6-0, wapo Kombe la Mabingwa na wasingeweza kufungwa na Yanga kwani hata makampuni ya betting yaliliona hilo.

Ona Derby ya Casablanca matokeo yalivyokuwa, na ile ndio maana halisi ya timu zilizopo Robo Fainali ya Klabu Bingwa na sio unaropoka tu kama chizi maarifa. Tena mshukuru dogo Baleke kutokuwa na target, kwani first half mgekula 5 swaafi!

Vipi bwana Labarn og, Kibu Denga si chochote?
 
.
Screenshot_20230417-062639_WhatsApp.jpg
 
Yangaaa! Nawaonea huruma kweli. Yaani Kibu anayelipwa laki 7 anaisadia timu lkn Aziz Ki anayelipwa milioni 35 anashindwa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom