Hii ndio sababu Diamond kutofanya show DSM mpaka mwaka 2017

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kama ulitarajia kumuona diamond platnumz mwaka huu akifanya show Dar Es Salaam una kila haki ya kusahau.
Diamond yuko booked mpaka mwaka 2017, hata mwaka mpya atauona akiwa kwenye Tamasha Lusaka Zambia
Kama uko maeneo tajwa unaweza nunua tiketi yako mapema
1477986731014.jpg
 
Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
 
Sio watanzania tu waafrica wanampenda diamond na mziki wake anamashabiki kila nchi , baada ya miaka 5 kumpata afanye show hapa Tanzania itabidi utoe pesa ndefu sana
 
Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
Muziki ni flavour/fleva...au kwa kiswahili tunaita Ladha,kila msanii ana ladha yake,Kama ilivyokuwa kwenye makulaji,kuna ladha tofauti tofauti na zote tunakula.....

Kuna wanaopenda mahadhi ya muziki wa kaswida kama Alykiba hasa waislamu wanampenda Allykiba kwasababu anaimba kama Yuko Maulidin au anasoma quran msikitini

Wapo wanaopenda Clubbanger kama mimi na Afropop flani hivi ya kizushi...ila wote muziki na una mashabiki...
 
Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo

Nilidhani subject ya hii thread ni ratiba ya Chibu mpaka New Year, sijui kupenda au kutopenda mziki wake imetokea wapi? watu kwa kupotosha mada
 
hana website kafika hapo, hao wenye website wamefika wapi? Halafu ni mzito sio mzigo
Wewe naona unaleta u-timu timu hapa..... Unashindwa kuelewa kuwa huyu ni figure ingine kabisa kwa mziki wa bongo... Sio kwa sababu unapajua kwao uone kuwa hakuna umuhimu wa website.... Eti unauliza hao waliofungua website wamefika wapi??? AY ni mwenzako???
 
Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
Pole team kibamia
 
Back
Top Bottom