shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
bilion nane kafikisha kwelibAnavyoimba vibaya yaani ili baki kidogo Malawi wauane ili tu wamsogelee jukwaani,afu ana bilioni 8 bank na chenji unarudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bilion nane kafikisha kwelibAnavyoimba vibaya yaani ili baki kidogo Malawi wauane ili tu wamsogelee jukwaani,afu ana bilioni 8 bank na chenji unarudi.
Yeye mwenyewe (Diamond) anajua fika hakubaliki BONGO....Kwa muziki hupi..muda wote jukwaani anavuta MISURUALI...vijana wake ni SARAKASI mwanzo mpaka mwisho wa shoo...Wabongo wenye akili zao kashindwa kuwavutia...
Kwahiyo Ma' mdogo we unapendelea muziki wa aina gani ????Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
Haya mama tumekuelewa.... Vp ushakojoa ulale?????hata kuimba live hajui bora angekuwa bella ningeenda
Tuheshimiane Mkuu, mie sivai bikinKwahiyo Ma' mdogo we unapendelea muziki wa aina gani ????
wamgeandika kama hivyo wewe nadhani ingeeleweka Zaidi, (3nd - CONGO) HII "ND" Ndo sijailewa.Ni dec 3 mkuu
Kwahiyo Ma' mdogo we unapendelea muziki wa aina gani ????
Na kwa akili zako zilivyo ndogo,UNADHANI KILA MTU ANAPENDA UNACHOKIPENDA WEWE ............ NA NDIO MAANA NIKAJUA NI WAKIKE MAANA WA KIUME HAWEZI KUONA WANAVYOVIPENDA WENZAKE NI UJINGA.Hao ndio wanamziki wanaofahamu mashabiki wanataka nini kabla na baada ya kupanda jukwaani sio kukimbia kimbia jukwaani na kurukia mashabiki. Fuatilia show zake hasa wimbo biberon alipoupiga live.![]()
Sina tabia ya kutukana japo naweza kutukana. Kama ulilelewa peke yako baada ya operation, ukalelewa kwa malezi kama kazi ya mknd wako mimi sina hizo tabia.Na kwa akili zako zilivyo ndogo,UNADHANI KILA MTU ANAPENDA UNACHOKIPENDA WEWE ............ NA NDIO MAANA NIKAJUA NI WAKIKE MAANA WA KIUME HAWEZI KUONA WANAVYOVIPENDA WENZAKE NI UJINGA.
Acha matusi basi, WEWE UNATULETEA HABARI ZA KUMPONDA MTU KWA STAIRI YA KUZUNGUUKA NA NDIO MAANA NIKAKUCHOKOZA MAKUSUDI NIUPATE UKWELI WAKO ULIOJIFANYA UMEUFICHA. Na sasa umeanza kutukana chezea mimi wewe.Sina tabia ya kutukana japo naweza kutukana. Kama ulilelewa peke yako baada ya operation, ukalelewa kwa malezi kama kazi ya mkundu yangu mimi sina hizo tabia.
Achana na mimi we mtoto wa K.mada kama hujalelewa kuheshimu mtu mimi sio type yako. Tafuta wanaoendana na wewe.Acha matusi basi, WEWE UNATULETEA HABARI ZA KUMPONDA MTU KWA STAIRI YA KUZUNGUUKA NA NDIO MAANA NIKAKUCHOKOZA MAKUSUDI NIUPATE UKWELI WAKO ULIOJIFANYA UMEUFICHA. Na sasa umeanza kutukana chezea mimi wewe.
Haya naachana na wewe,ILA OLE WAKO UANDIKE UJINGA TENA NAKUJIBU,NA UHESHIMU WANACHOKIPENDA WENZAKO SIO UKAJIONA WEWE UNAVYOVIPENDA NDIO VITU VYA MAANA,ILA WANAVYOVIPENDA WENZAKO NI UJINGA.Achana na mimi we mtoto wa K.mada kama hujalelewa kuheshimu mtu mimi sio type yako. Tafuta wanaoendana na wewe.
Nimekuambia usijaribu kufikiri kila mtu kalelewa na mama yako. Umeanza kwa kuniita nina akili ndogo za K.mada mm yako.Haya naachana na wewe,ILA OLE WAKO UANDIKE UJINGA TENA NAKUJIBU,NA UHESHIMU WANACHOKIPENDA WENZAKO SIO UKAJIONA WEWE UNAVYOVIPENDA NDIO VITU VYA MAANA,ILA WANAVYOVIPENDA WENZAKO NI UJINGA.
Umeniambia nikuache, na mimi nimekuacha,ILA NAKUAMURU UHESHIMU WANAVYOVIPENDA WENZIO.Nimekuambia usijaribu kufikiri kila mtu kalelewa na mama yako. Umeanza kwa kuniita nina akili ndogo za K.mada mm yako.
Hater spotted[emoji165] [emoji368]Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
StpdUmeniambia nikuache, na mimi nimekuacha,ILA NAKUAMURU UHESHIMU WANAVYOVIPENDA WENZIO.