Mzigo au Mzito?Huyu nae atengeneze website sasa.... E mail gmail??? Aibu kwa mtu mzigo Kama dimond
Mi naona wanaruka ruka tu jukwaaniHivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
Sio watanzania tu waafrica wanampenda diamond na mziki wake anamashabiki kila nchi , baada ya miaka 5 kumpata afanye show hapa Tanzania itabidi utoe pesa ndefu sanaHivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
Ndiyo sababu nikasema binadamu tunatofautiana sana ndugu, mie hata bure siendiSio watanzania tu waafrica wanampenda diamond na mziki wake anamashabiki kila nchi , baada ya miaka 5 kumpata afanye show hapa Tanzania itabidi utoe pesa ndefu sana
Muziki ni flavour/fleva...au kwa kiswahili tunaita Ladha,kila msanii ana ladha yake,Kama ilivyokuwa kwenye makulaji,kuna ladha tofauti tofauti na zote tunakula.....Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
sijui mwenzetu wa kuzimiwa Mic yupo wapi mida hii
Hivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo
hata mimi nashangaa, mtu kama huupendi mziki wake sisi hatutaki kujuaNilidhani subject ya hii thread ni ratiba ya Chibu mpaka New Year, sijui kupenda au kutopenda mziki wake imetokea wapi? watu kwa kupotosha mada
Sasa hapo kashfa ipo wapi?? Huo ni ushauri ktk lugha ya mgambo,...mbongo on duty... kashfa iko kwenye damu duh....
Wewe naona unaleta u-timu timu hapa..... Unashindwa kuelewa kuwa huyu ni figure ingine kabisa kwa mziki wa bongo... Sio kwa sababu unapajua kwao uone kuwa hakuna umuhimu wa website.... Eti unauliza hao waliofungua website wamefika wapi??? AY ni mwenzako???hana website kafika hapo, hao wenye website wamefika wapi? Halafu ni mzito sio mzigo
Pole team kibamiaHivi huwa kweli mnaingia kusikiliza mziki na kuinjoy kabisa kwa nyimbo zile!! Kweli binadamu tumeumbwa tofauti sana. Hongereni Watanzania kwa kuwasapoti vijana wa Kitanzania wanaoitangaza nchi yetu Kimataifa japo si mpenzi kabisa wa aina ya mziki huo