eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Wakuu najua mmepata taarifa juu ya kuhailishwa tamasha la fiesta basi zifuatazo ni taarifa zilizo chini ya kapeti kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi was clouds media
taarifa nilizo zipata kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wao wanasema wamehailisha kutokana mpaka kufikia Jana usiku ticket zilikuwa hazijanunuliwa robo yake hivyo basi wameamua kuhairisha kutokana na ushindani uliopo mbele yao kwani wameona ni bora wahailishe ili kusudi heshima waliyonayo mbele ya watanzania isije ikapotea,mmoja wa wafanyakazi huyo aliendelea kuniambia kuwa wanajua aibu itakuwepo sahv lakini wameamua kuhailisha kutokana na wangeendeleza tamasha hilo Leo basi fedheha ingekuwa mala kumi na wanayopita sahivi pia aliendelea kusema wanampango wa kumsubilia kingkiba amalize tamasha lake ili wamvute kwani ni moja ya wasanii wenye nguvua Africa mashariki pia aliendelea kusema wanampango wa kuendeleza system yao ya zamani ya kuleta wasanii kutoka west Africa mtoa taarifa huyo alinifafanulia kuwa hii yote imetokana na kuladhimisha wasanii ambao wengi wao hawana ushawishi kwa mashabiki pia mtoa taarifa huyo anafafanua kuwa hii yote ni kutokana na usimamizi mbovu iliopo sasa kwani msimazi wao mkuu (Luge) yupo katika hali mbaya mtoa taarifa huyo anazidi kueleza kuwa kuwa nguvu ya wasanii iliyopo upande wa pili (WCB) ni kubwa mno kwani wasanii wote wa lebel hiyo wananguvu sana especially diamond harmonize, rayvanny pia anamaliza na kusema kuwa hata hapo kazini kwao wamekubali kichinichini kuwa upande wa pili ndio unanguvu sana machoni kwa mashabiki pia wamebadilisha mfumo wa bongo fleva japokuwa hawawezi kukili mbele ya hadhala lakini hilo lipo wazi.