data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Nimekushangaa wewe...umewezaje kukopi such incorrectness..!??Crosscuting scenaries!?
Ni lugha gani hii Kiongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekushangaa wewe...umewezaje kukopi such incorrectness..!??Crosscuting scenaries!?
Ni lugha gani hii Kiongozi?
Sio Luge tu hata " kuhailihwa" ndo nini?mtu asiyejua kuandika mi huwa simiamini sana Luge ndo nini?
Sasa unafananisha level ya kujitambua ya watu wa Singida na Dar? Hebu kuwa serious kidogo basi, huko Singida hata ukimpeleka Daz baba leo kutajaa tu watu ni washamba wa wasanii, ila thubutu kumleta hata kwenye ukumbi tu hapa Dar af uwachaji watu hela uone kama kuna ambae atajigusa!Sikubaliani kuwa tiketi zilikua chache, kama wameweza kujaza Singida washindwe kujaza Dar.
Hii ni figisu ya Bashite kawalia timing tu
Ccm ni janga la taifa waache Clouds waendelee kuwakumbatia watajuta.
Ofcourse naamini ile ni biashara, lazma kuwe na faida iliokusudiwa sasa kama manunuzi ya Ticket hayatoshi kulipa hata wasanii wenyewe we unatarajia nini? Bado gharama nyingine za kutumia venue na mazaga mengine kwa kweli aibu sana na wangeforce show lazma ingebidi watikise account zao kulipa madeni!Dalili ya mvua ni mawingu. Mi niliwaona tu walipoanza kutapatapa katika promo masaa yote live kumbe tiketi haziendi. Na kwanini wachukue hatua ya kurudisha tiketi? Hii inamaana waliangalia hasara ya kuendelea na tamasha ingewafunga ukumbuke pia wasanii hawajalipwa kwa wakati. Ukweli mchungu ndio huo clouds ni wajanja wajinga.
mtu asiyejua kuandika mi huwa simiamini sana Luge ndo nini?
Una uhakika?Kweli dimondo freemasoni
Sasa unafananisha level ya kujitambua ya watu wa Singida na Dar? Hebu kuwa serious kidogo basi, huko Singida hata ukimpeleka Daz baba leo kutajaa tu watu ni washamba wa wasanii, ila thubutu kumleta hata kwenye ukumbi tu hapa Dar af uwachaji watu hela uone kama kuna ambae atajigusa!
TehNimeshakula nimeshiba ngoja nitafute kijiwe nikae.. nianze kuiponda serikali..
Arusha si ndio wamejaa kina Juru wa kushato niaje! Fiesta imejaza sababu kina Mchomvu na B12 ni watoto wa uko na fekeche za akina Papaa mafido ila Chuga inae ma mbulula tu kama ilivyo wasukuma wa Mwanza!Vipi kuhusu Arusha, au Mwanza nako wamejaa wenye level ipi labda?
Cheap point hiyo.!
Tuanze hapo..mtu asiyejua kuandika mi huwa simiamini sana Luge ndo nini?
Wakuu najua mmepata taarifa juu ya kuhailishwa tamasha la fiesta basi zifuatazo ni taarifa zilizo chini ya kapeti kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi was clouds media
taarifa nilizo zipata kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wao wanasema wamehailisha kutokana mpaka kufikia Jana usiku ticket zilikuwa hazijanunuliwa robo yake hivyo basi wameamua kuhairisha kutokana na ushindani uliopo mbele yao kwani wameona ni bora wahailishe ili kusudi heshima waliyonayo mbele ya watanzania isije ikapotea,mmoja wa wafanyakazi huyo aliendelea kuniambia kuwa wanajua aibu itakuwepo sahv lakini wameamua kuhailisha kutokana na wangeendeleza tamasha hilo Leo basi fedheha ingekuwa mala kumi na wanayopita sahivi pia aliendelea kusema wanampango wa kumsubilia kingkiba amalize tamasha lake ili wamvute kwani ni moja ya wasanii wenye nguvua Africa mashariki pia aliendelea kusema wanampango wa kuendeleza system yao ya zamani ya kuleta wasanii kutoka west Africa mtoa taarifa huyo alinifafanulia kuwa hii yote imetokana na kuladhimisha wasanii ambao wengi wao hawana ushawishi kwa mashabiki pia mtoa taarifa huyo anafafanua kuwa hii yote ni kutokana na usimamizi mbovu iliopo sasa kwani msimazi wao mkuu (Luge) yupo katika hali mbaya mtoa taarifa huyo anazidi kueleza kuwa kuwa nguvu ya wasanii iliyopo upande wa pili (WCB) ni kubwa mno kwani wasanii wote wa lebel hiyo wananguvu sana especially diamond harmonize, rayvanny pia anamaliza na kusema kuwa hata hapo kazini kwao wamekubali kichinichini kuwa upande wa pili ndio unanguvu sana machoni kwa mashabiki pia wamebadilisha mfumo wa bongo fleva japokuwa hawawezi kukili mbele ya hadhala lakini hilo lipo wazi.
.............Mkuu toa kwanza boriti ndani ya jicho lako kisha ndo upate ticket ya kumtuhumu mwenzako....“SIMIAMINI" ndo kiswahili gani hiko?mtu asiyejua kuandika mi huwa simiamini sana Luge ndo nini?
mtu mwenyewe hata kuandika hujui.......Wakuu najua mmepata taarifa juu ya kuhailishwa tamasha la fiesta basi zifuatazo ni taarifa zilizo chini ya kapeti kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi was clouds media
taarifa nilizo zipata kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wao wanasema wamehailisha kutokana mpaka kufikia Jana usiku ticket zilikuwa hazijanunuliwa robo yake hivyo basi wameamua kuhairisha kutokana na ushindani uliopo mbele yao kwani wameona ni bora wahailishe ili kusudi heshima waliyonayo mbele ya watanzania isije ikapotea,mmoja wa wafanyakazi huyo aliendelea kuniambia kuwa wanajua aibu itakuwepo sahv lakini wameamua kuhailisha kutokana na wangeendeleza tamasha hilo Leo basi fedheha ingekuwa mala kumi na wanayopita sahivi pia aliendelea kusema wanampango wa kumsubilia kingkiba amalize tamasha lake ili wamvute kwani ni moja ya wasanii wenye nguvua Africa mashariki pia aliendelea kusema wanampango wa kuendeleza system yao ya zamani ya kuleta wasanii kutoka west Africa mtoa taarifa huyo alinifafanulia kuwa hii yote imetokana na kuladhimisha wasanii ambao wengi wao hawana ushawishi kwa mashabiki pia mtoa taarifa huyo anafafanua kuwa hii yote ni kutokana na usimamizi mbovu iliopo sasa kwani msimazi wao mkuu (Luge) yupo katika hali mbaya mtoa taarifa huyo anazidi kueleza kuwa kuwa nguvu ya wasanii iliyopo upande wa pili (WCB) ni kubwa mno kwani wasanii wote wa lebel hiyo wananguvu sana especially diamond harmonize, rayvanny pia anamaliza na kusema kuwa hata hapo kazini kwao wamekubali kichinichini kuwa upande wa pili ndio unanguvu sana machoni kwa mashabiki pia wamebadilisha mfumo wa bongo fleva japokuwa hawawezi kukili mbele ya hadhala lakini hilo lipo wazi.
hamnazo weweHuu ndio ukweli zingine ni mbwembwe tu Makonda anavyopenda kuuza sura kwenye matamasha aiingii akilini eti awafanyie figisu wawaombe radhi tu WCB.
kibali walipewa, ila kimefutwa tena na mamlaka ile ile iloyotoa kibali........Swala la kibali mimi nakataa,tamasha kubwa akama lile,lina watu wenye uzoefu miaka zaidi ya 15,lina watu professional,lina kamati maalumu ya maandalizi,vile vile lina simamiwa na kamapuni kubwa ya promotion,Prime Times Promotion.Alafu eti leo uniambie wameahailisha sababu hawana kibali ni uwongo.
Yaani utake risk kubwa ya kuandaa jukwaa,kufungwa mziki alafu uniambie eti hawana kibali ,hii ni CHAI.Sisi kipindi kile tunaanda vi party vyetu vya macamp,kitu cha kwanza tunatafuta vibali kabala ya kufungwa vijukwaa vyetu na mziki,sasa ww una take big risk ya kuspend high amount of money kufunga majukwaa na mziki,alafu uniambie eti siku za mwisho kibali kimezuiwa UWONGO.
Ikiwa sisi watu wa uswahili hatuna elimu ya kutisha lkn tuna jua hii Protocol,sembuse wao wanye watu wenye Proffesional zao + plus uzoefu wa kuaandaa matamasha kwa miaka zaidi ya kumi na tano
Mauzo ya ticket yame feli huo ndio ukweli wenyewe.
bashite kawatuma hawaMnaosema tatizo ni mauzo ya tiketi niwaulize swali;
Kama kweli tatizo liko ndani ya clouds na wadhamini wake (mauzo machache) na sio manispaa ya kinondoni, Je serikali ipo tayari kukubali kubeba mzigo wa lawama kuwanyima kibali cha kufanya hiyo show ilihali waliwapa?
Haiwezi tokea hili ni pigo mlezi wa Wcb.
Ila kuwa mkweliNdefu mno
Ungeandika hata kwa aya mkuu