Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu huna lolote usingekuwa unaandika upupu hapa... we mbweha tu hujui hili wala lile... Aliyeelimika hawezi kuwa kama ww..
Kwa hiyo ndio umeandika mashudu kingereza chenyewe hujui eti "are you sane", dogo hizi avatar zisikudanganye, najua nilicho kiandika huwezi kukielewa kama hujui Calculus, sababu kichwa chako chepesi.
 
Mpaka SAA nane (8) mchana Leo tarehe 24-11-2018 nimeenda kukata ticket yangu inasoma ni MTU wa 1469 katika kituo kimoja cha Mtwara municipal bus stand cjui kwingine huko
Kwa hesabu za haraka hapo ni mil 15 kasoro.. lkn ujue Diamond yy huhitaji mil 164 kwa show moja..
 
Kwa hiyo ndio umeandika mashudu kingereza chenyewe hujui eti "are you sane", dogo hizi avatar zisikudanganye, najua nilicho kiandika huwezi kukielewa kama hujui Calculus, sababu kichwa chako chepesi.
Ushapaniki ww boya... ss kuhusu kiingereza hapo hakuna kosa lolote... usikariri dogo..
Are you sane??? Yaan uko na akili timamu?? Sio vile unavyotaka kuwekwa hivyo ndivyo huwekwa..
 
Ushapaniki ww boya... ss kuhusu kiingereza hapo hakuna kosa lolote... usikariri dogo..
Are you sane??? Yaan uko na akili timamu?? Sio vile unavyotaka kuwekwa hivyo ndivyo huwekwa..
Duu futa comment, ili ufiche upumbavu wako. Huna unachokijua eti" are you sane "😀😀😀😀, Mimi Sane, alafu bado unang'anana kutetea upuuzi wako.
 
Wakuu najua mmepata taarifa juu ya kuhailishwa tamasha la fiesta basi zifuatazo ni taarifa zilizo chini ya kapeti kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi was clouds media
taarifa nilizo zipata kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wao wanasema wamehailisha kutokana mpaka kufikia Jana usiku ticket zilikuwa hazijanunuliwa robo yake hivyo basi wameamua kuhairisha kutokana na ushindani uliopo mbele yao kwani wameona ni bora wahailishe ili kusudi heshima waliyonayo mbele ya watanzania isije ikapotea,mmoja wa wafanyakazi huyo aliendelea kuniambia kuwa wanajua aibu itakuwepo sahv lakini wameamua kuhailisha kutokana na wangeendeleza tamasha hilo Leo basi fedheha ingekuwa mala kumi na wanayopita sahivi pia aliendelea kusema wanampango wa kumsubilia kingkiba amalize tamasha lake ili wamvute kwani ni moja ya wasanii wenye nguvua Africa mashariki pia aliendelea kusema wanampango wa kuendeleza system yao ya zamani ya kuleta wasanii kutoka west Africa mtoa taarifa huyo alinifafanulia kuwa hii yote imetokana na kuladhimisha wasanii ambao wengi wao hawana ushawishi kwa mashabiki pia mtoa taarifa huyo anafafanua kuwa hii yote ni kutokana na usimamizi mbovu iliopo sasa kwani msimazi wao mkuu (Luge) yupo katika hali mbaya mtoa taarifa huyo anazidi kueleza kuwa kuwa nguvu ya wasanii iliyopo upande wa pili (WCB) ni kubwa mno kwani wasanii wote wa lebel hiyo wananguvu sana especially diamond harmonize, rayvanny pia anamaliza na kusema kuwa hata hapo kazini kwao wamekubali kichinichini kuwa upande wa pili ndio unanguvu sana machoni kwa mashabiki pia wamebadilisha mfumo wa bongo fleva japokuwa hawawezi kukili mbele ya hadhala lakini hilo lipo wazi.
Wekaga nukta.
 
Duu futa comment, ili ufiche upumbavu wako. Huna unachokijua eti" are you sane "[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], Mimi Sane, alafu bado unang'anana kutetea upuuzi wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushaelewa eeeh?? Maana ushajibu tayari sema acha kukariri ww.. mtu akisema are you okay...?? Hutomwelewa sio??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushaelewa eeeh?? Maana ushajibu tayari sema acha kukariri ww.. mtu akisema are you okay...?? Hutomwelewa sio??
Alafu unajiita msomi, mpuuzi we hiyo inatakiwa iwe insane, na sio sane kafute comment yako ufiche upumbavu wako. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hivi kweli tamasha tanzania hii bila diamond,harmonize,rayvanny,nandy,alikiba na navykenzo?Eti juma nature,TID jamani huu ulikua ni ukosefu wa plan nzuri.
 
yangu macho na masikio ila usilolijua ni sawa na usiku wa giza ipo siku ukweli utajulikana tuombe uzima
 
Back
Top Bottom