Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah tutake radhi mkuuingekuwa mala kumi ..hii sentensi imedhihirisha team Mond..hawajui kuandika hata kiswahili..fanyeni utafiti
Luge..ndio nini...Aah tutake radhi mkuu
HahahahaLugha ngumu imetumika kuandika hili bandiko,kuna maneno ya kiswahili na maneno mengine sijui ni lugha gani/zipi.
Kwahiyo Manispaa ya kinondoni ndio wamiliki wa Clouds media!Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.
Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.
Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
Angalia isije ukanyapiwa nyapiwa kwa kunyapia nyapia habari za kunyapia nyapia.Za kunyapia nyapia zinasema
Moja kubwa upooHivi ndio vitimu mavi vinavyonunuliwa simu na kuwekewa bando vije kutukana mitandaoni,ni vijitu ambavyo ni brainless,visivyojielewa ndio maana unaona hata kwenye maandiko yake kwamba hajielewi.
Kwani hawakusimamishwa na halmashauri ya kinondoni ?! Hata kama mauzo yalikuwa madogo ya tiketi ?! Hayo mengine mnayajuwa wenyewe wenye kutafuta sababu . Kama wamezunguka mikoani kote huko wangeshindwa kumalizia Dar ?! Kubadilisha venue ghafla si sawaZa kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.
Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.
Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
Tamasha limehamishiwa chattle kuunga mkono juhudi za aliye juuClouds hawawezi kufanya Tamasha likose watu,tena tigo wametia mzigo haiwezekani,ni figisu na nyawilanyawila.