Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Kuna demu nilikua namtaka akawa ananizungusha sana siku niliyompata hakuamini jinsi nilivyompiga mara moja na kumwacha akawa anaanza kunitafuta yeye sasa akipiga simu sipokei meseji sijibu alitia akili
 
Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.

Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.

Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.
  • Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
Kwa hiyo suala la kuihamisha Fiesta pale Leaders Club ni propaganda ya Clouds, siyo?... Hizo za kunyapianyapia nadhani utakuwa umezipata ofisi za WCB...
 
Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.

Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.

Kichwa box plus...... Hata km ticket zingekuw zmeuzwa zote wangeweza kurudisha tuu sabab pesa ilikuw haijatumika. Labda ungesema laiti tamasha lingekatishwa katikati.
Pia uuzaji wa ticket ulisitishwa kwa sabab Tanganyika Packers ni padogo kuliko Leaders Club.[/QUOTE]Tanganyika pekasi sio padogo, mda waliositishiwa leaders usingetosha kuandaa jukwaa na kutangaza mabadiliko ya eneo jipya.
 
Kuna demu nilikua namtaka akawa ananizungusha sana siku niliyompata hakuamini jinsi nilivyompiga mara moja na kumwacha akawa anaanza kunitafuta yeye sasa akipiga simu sipokei meseji sijibu alitia akili

Bangi ukivutia chooni alafu siku ya jumapili matokeo yake ni haya
 
Hujawahi kushika hela Wewe.. Ushawahi kuona wapi mfanyabiashara anarudisha hela?
 
Vinjuka vipate watu mkoani baba zao wakose Tanzania.
Kuja na sababu nyingine.
Unalinganisha watu wa mkoani na darusalama?

Anyways wakati wanafanya huko mkoani wasafi festival haikuwepo
 
Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.

Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.

Hata km ticket zingekuw zmeuzwa zote wangeweza kurudisha tuu sabab pesa ilikuw haijatumika. Labda ungesema laiti tamasha lingekatishwa katikati.
Pia uuzaji wa ticket ulisitishwa kwa sabab Tanganyika Packers ni padogo kuliko Leaders Club.[/QUOTE]
Wewe hujawahi kushika pesa Wewe na kwa akili hizo hutashika pesa mpaka unaingia kaburini.Pesa hazikaagi kwa watu wenye akili ndogo kama Wewe..

Last time walivyo baniwa walienda Ku complain kwa Mjomba Magu .Kipi kimewafanya washindwe kumuona Magu this time?

Mauzo ya tiketi yangekuwa mazuri wangetafuta any means necessary like Malcolm X kuhakikisha tamasha linafanyika .

Hiyo sababu waliyo itoa its just an alibi.
 
Imebidi nianze kuangalia baadhi ya comments na threads zako ndo nijue kama pointless hii umeteleza au ni kawaida yako, na nimeshapata jibu,

Asante
 
Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.

Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.

Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.

  • Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
We ke au me?
 
navosikia hali ya ruge si nzuri kabisa hadi jiwe kachangia MIL 50 kusaidia matibabu na hatuombei ila za chini ya kapeti wanadai Jana alikuwa halfdied
 
Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.

Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa clouds kufanya tamasha lenye kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.

Na.pengine hiyo ndio sababu Clouds wame Fanya uamuzi wa kuwarudishia pesa walio nunua tiketi.

Wangekuwa wameuza tiketi nyingi wasingeweza kufanya uamuzi wa kurudisha pesa za watu.
A person like you filled with such hatred can never succeed. Umekalia uzushi tu.
 
Back
Top Bottom