Tetesi: Hii ndio sababu halisi iliyowafanya Clouds Media Group waahirishe tamasha la Tigo Fiesta

Mnaosema tatizo ni mauzo ya tiketi niwaulize swali;

Kama kweli tatizo liko ndani ya clouds na wadhamini wake (mauzo machache) na sio manispaa ya kinondoni, Je serikali ipo tayari kukubali kubeba mzigo wa lawama kuwanyima kibali cha kufanya hiyo show ilihali waliwapa?

Haiwezi tokea hili ni pigo mlezi wa Wcb.
 
Swali la msingi sana
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Mi niliwaona tu walipoanza kutapatapa katika promo masaa yote live kumbe tiketi haziendi. Na kwanini wachukue hatua ya kurudisha tiketi? Hii inamaana waliangalia hasara ya kuendelea na tamasha ingewafunga ukumbuke pia wasanii hawajalipwa kwa wakati. Ukweli mchungu ndio huo clouds ni wajanja wajinga.
 
Huyu ni Team Mond tu anawezaje kupata habari nyeti hivi wakati hata kuandika hawezi?
Ila nampongeza ni bonge la mtunzi wa crosscuting scenaries.
Crosscuting scenaries!?
Ni lugha gani hii Kiongozi?
 

Hakuna majitu nayachukia dunia hii kama yanayoshindwa kutumia matamshi sahihi ya lugha yake ya taifa:

1.kuhailishwa
2.Luge
3.hadhala

Ni upumbavu ulioje jitu zima lilioenda shule likamaliza halijui tofauti ya "r" na "l"?

Yaani sijui mijitu yenye ukilema huu wa lugha uliyozaliwa nayo sijui unatoka wapi.....Ni upunguani mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…