Hii ndio sababu kubwa ya Corona kusambaa kwa kasi Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Mara zote tumekuwa tukiwaambia kwamba Kenya kuna uzembe na ulegevu ktk mapambano dhidi ya Corona, pia tumesema kwamba Kenya haijajipanga vizuri katika mapambano haya, zaidi ya kupima na kuitangazia dunia kwamba kuna watu wengi Kenya wenye maambukizi ili wapate sababu ya kuomba misaada na kufutiwa madeni, hakuna juhudi za dhati toka mamlaka za Kenya katika kukabiliana na janga hili. Sikilizeni kwa makini hii video.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unailinganisha na nchi gani kwa mfano ?!.
Nchi zote za Africa especially hizi za dunia ya tatu, hatuchekani.

Kama ulisikia waziri wetu wa wizara husika na Corona akiwa sirari alitamka "ikitufikia Corona sisi hatuwezi kuimudu". Na haya aliyasema alipoona serikali ya China ilivyochukuwa hatua na gharama walizotumia. So mapungufu ya maji Kenya ni sawa Tu na hapa kwetu.

Odhis *
 
Natafuta Kenya hapa
Unaiona?
focuseconomics_poorest_countries_nov_2018-01.png

Usifurahie kwa jirani kukichomeka maybe you are next.
 
Dahhh inamaana Somali pia imetupita?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi kibao hapo ambazo zina maisha ya chooni lkn hazipo including kenya, na ndiyo maana huwa nawaambia Wakenya wasipende sn kutegemea report za wazungu hazitawasaidia chochote zaidi ya kuwaharibu kisaikolojia, kenya ukitoa Nairobi ni uozo mtupu, wana njaa, maji hamna, vita kila siku, ufisadi uliopindukia yn huwezi kabisa kulinganisha na Tz hata Wakenya wenyewe wanajua hilo.
 
Unailinganisha na nchi gani kwa mfano ?!.
Nchi zote za Africa especially hizi za dunia ya tatu, hatuchekani.

Kama ulisikia waziri wetu wa wizara husika na Corona akiwa sirari alitamka "ikitufikia Corona sisi hatuwezi kuimudu". Na haya aliyasema alipoona serikali ya China ilivyochukuwa hatua na gharama walizotumia. So mapungufu ya maji Kenya ni sawa Tu na hapa kwetu.

Odhis *
Wewe acha kutetea ujinga. Hapa kwetu karinti ziko vizuri
 
Tatizo kenya wanapenda Sana kuiga marekani hawatumii akil yao ndio maana marekani leo hii anapeperusha bendera kawaacha mbali kabisa kina Italy na kenya nayo hapa EA kawa kiongoz sababu ya kufata kibubusa Cha mmarekani

Back
Top Bottom